Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

hivi prophet tb joshua hakuliona hili la escrow ili tujihadhari kabla ya hatari?
 
Hakika mkuu Kindafu si uliona obama road moja lilikwapua bn 1 afu likawashangaa watz kuona hiyo ni hela kubwa wkt kuna watu hawajui hata hesabu kamili ya mihela kwenye ac zao. Sasa si umeona mkuu mijitu inabeba noti kwenye viroba!!! Yule kibaka wa kike kwa vile ana mdomo mkubwa basi karopoka ila wengine wamekuwa smart na itapita kama EPA ilivyoisha. Mkuu tuungane tuwashughulikie japo kidogo.
 
Mkuu COPD ni kweli kuna haja ya kuwashughulikia hao "Panya road wa Obama Road" ili ukiwagusa vibaya wata-"Kulimboka" bila huruma! Dawa ni kwa wale wenzetu walio na access ya data za kuweza kuwahusisha moja kwa moja kuziweka hadharani kwenye mitandao ili kila mmoja aweze kuwachora kwa style yake mpaka wakose pa kuficha uso!
 
Mi sieelewi wazungu hao wanatakaa maazimio ya bunge yatekelezwe huku jk anasema kutaufisha mitambo ya uptl tutakimbiza wawekezaji hii wapi na wapi
 
Bibi bomba Faiza sijui kajichimbia shimo gani sasa hivi, maana alijiapiza kuwa Escrow hawajibishwi wala hajiuzulu mtu. Sasa safu nzima ya wahusika wameondolewa au wameondoka.

It must feel good to be Tumbili Kafulila this time around.
 
Back
Top Bottom