Masikini Tanzania as poor as we are, as beggars as we are, we can not be choosers!, tunasubiri kupangiwa!, hizi kelele za kulalamikia rushwa huku we don't do anything, hazitusaidii kabisa!, IPTL ni rushwa mwanzo mwisho!, Escrow sio rushwa bali ni utapeli tuu, sasa MCC wanasubiria utekelezaji wa maazimio ya Bunge!. Yaani kufuatia umasikini wetu, rais wetu sasa analazimishwa lazima afanye kitu ndipo MCC ipite!. Kiukweli mimi sijaipenda kabisa release hii, na hata kama JK alipanga to do something, he should have done before, lakini akifanya sasa itaonekana ni to bow down to pressure za mabeberu hawa na wakoloni mamboleo simply because we have to beg!.
If I ware him, I would have said, to hell with MCC, kama Escrow was a clean deal, it is clean!. If it is dirty, then it needs cleaning, but escrow ni matokeo tuu na sio chanzo, sijaona any efforts to deal na chanzo!.
We are real ignorants!.
Poor we!.
Pasco
Haya mambo yamelelewa sana na serikali hadi yamepitiliza, hivi inakuwaje mtumishi wa umma kama TRA na Tanesco ambaye anaiwakilisha serikali on one hand halafu the same person ameingiziwa hela na rugemalira?
Huyu mtu by any means alitoa favour sasa analipwa fadhila hii ni rushwa ya wazi kabisa, cha ajabu hawa watu hadi leo wapo kwenye kazi zao na wanaendelea kuitia serikali hasara kwa mikataba mibovu, mcc wana haki ya kutushurutisha maana bila ya hivyo wananchi masikini ndio wanateseka kwa kulipishwa madeni ambayo wameiba watu wengine.