Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

Thats so stupid mind,

So mfano kama hao uliowataja wamehusika na hicho unachokisema ndiyo justifation ya kuhalalisha wizi huo unaofanywa na hawa mafisadi??

kuna watu mnachukiza sana
Mie siongeagi na wajinga mbugila kama wewe bishani na wenzako kwenye mabaraza ya kusukia nywere.
 
Ukiongea habari ya wizi mwambie slaa aliyeiba pesa za watoto yatima na Lema anayeiba magari kule mpakani mwa kenya na tanzania.

pole sana kubwa jinga wapi wazungu wamezuia misaada kwa7bu ya cdm? Ulivyo mweuge kichwan huwezi kuona jinsi serikali ya kifisadi ya ccm inavyotesa wananchi wake kwa wizi .
 
Watawala wamezoea kudanganya umma kuwa Tanzania ni Kisiwa cha Amani ilhal watawala hao hao wamegeuza taifa letu kuwa maficho ya wezi, mafisadi, walanguzi wa madawa ya kulevya, majangili na hata wauaji wa albino.

Kama mzalendo wa nchi hii naunga mkono kibano kinachofanywa na Mataifa yanayotoa misaada kwa nchi yetu ambayo mwisho wa siku inatumika kwa manufaa binafsi ya watawala, familia zao na washirika wao katika kuendeleza matendo haramu ndani ya nchi yetu.
 
Inashangaza sana

nchi yenyewe maskini wapo weengi hivi,

wao wamekalia kuiba tu bila huruma hivi hawa watu hawana mioyo ya utu??

wapuuz kabisa,ajabu wengine wanaiba kisha wanaenda kuficha huko huko nje huku ndug zao wanakufa kwa kukosa madawa,

haijatosha tuh hawa wapuuz wakawajibishwa kwenye kura 2015??

Kaka ifike mahali haya majambazi tuyakatae kwa nguvu zote kwani watanzania wanaoteseka ni wengi sana hvyo nakubaliana na wazo lako.
 
Mie siongeagi na wajinga mbugila kama wewe bishani na wenzako kwenye mabaraza ya kusukia nywere.

Msukwa nywele ni yule anaekaa anatikisa makalio kushangilia watu wanaeiba pesa za walalahoi mchana kweupe huku akidhani kwamba ni tija kwake au ni kick ya kumpa umaarufu na kuchumia tumbo,

Laana ya damu za walalahoi wale wanaotabika kwa wizi wenu nyinyi manyang'au itawaandama hapa dunian hadi kuzimu mtakofukiwa wezi wakubwa nyinyi,

so you think its funny kuibia watu maskin kisha mnakuja kupotezea wizi huo kwa ubishani wenu wa kisiasa??

You will pay for this,kama sio nyinyi basi vizaz vyenu huko mbeleni

Lazima mtakuja kulipia hii dhulma
 
Walianza Nchi wahisani, imefuata MCC, baadae itakuja USAID- US, DFID-UK, JICA-Japan, wanavyojua kupeana signal ili kutoa mbinyo kila kona!
 
Thats so stupid mind,

So mfano kama hao uliowataja wamehusika na hicho unachokisema ndiyo justifation ya kuhalalisha wizi huo unaofanywa na hawa mafisadi??

kuna watu mnachukiza sana

Na hawa ndio watetezi wa serekali iliopo madarakani.
 
Kama huyu mama fisadi Tibaijuka anavyoshupalia mgao wake wa karibu bilioni 2, eti ni pesa yake ya ruzuku bila woga wala aibu! Utapewaje ruzuku kutoka katika pesa za walipa kodi zilizoibiwa kwa kutumia forged documents!? Nimemshangaa kweli huyu ambaye inadaiwa ni professor uwezo wake wa kuchanganua mambo kwa kina na kujua when it is time to shut up ni SIFURI.

A big up Kafulila; you put it correctly kwamba scandal ya tegeta escrow inaliumiza taifa zaidi ya pesa zilizoibiwa; now look; ulichokisema bungeni ndio hiki hapa; Muhongo muongo na Saada mkuya walilidanganya bunge; Saada mkuya nae atimuliwe sambamba na Muongo na wengineo,

Najua watakuja wameshupaa kukanusha staement hii; mijizi haina aibu hata chembe!
 
Back
Top Bottom