Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,598
3,671
Washington, D.C.-The U.S. Government's Millennium Challenge Corporation (MCC) issued the following statement after its Board of Directors (Board) held its annual country selection meeting on December 10, 2014:

"MCC takes seriously all of its country partners' commitments to combat corruption. At-today's meeting, MCC's Board expressed continued concern over corruption in Tanzania, including the implications of the recent case involving Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

The Board noted that Tanzania has experienced a significant decline over the past seven years on the key indicator measuring efforts to control corruption.

While the Board voted to allow Tanzania to continue working to develop a compact proposal-given its passage on MCC's policy scorecards and its strong previous performance as an MCC partner-the Board stated its expectation that the Government of Tanzania must take firm, concrete steps to combat corruption before a compact is approved.

Further, the Board voted to continue MCC's engagement with Tanzania with the understanding that, in accordance with the Tanzanian State House December 9 statement, the Tanzanian government would act promptly and decisively on the late November parliamentary resolutions regarding IPTL.

The Board also reaffirmed more broadly that Tanzania must undertake a series of previously agreed upon structural reforms to improve the efficiency, effectiveness and transparency of the energy sector, and more generally to deal with wider corruption."

Source: mcc.gov
 
Mnaoimba ukoloni mambo leo huku mnagandamiza haki za watanzania maskini kwa kugawana fedha ambazo wamezitolea jasho la damu, mtoe maelezo. Sababu za wamarekani zinaeleweka. Wanataka waone resolutions za bunge zikifanyiwa kazi -

resolutions zote hata zile zilizokwisha futikwa chini ya busati. Hapa wanataka accountability. Imbeeeeni ukoloni mamboleo, ila hatimaye lazima mchukue hatua - hata kama ni za kinafiki. Mnaotumia fwedha kibao kununua matangazo ya kuwasafisha; mjue wenzetu hawaangalii sura au cheo cha mtu.
 
A big up Kafulila; you put it correctly kwamba scandal ya tegeta escrow inaliumiza taifa zaidi ya pesa zilizoibiwa; now look; ulichokisema bungeni ndio hiki hapa; Muhongo muongo na Saada mkuya walilidanganya bunge; Saada mkuya nae atimuliwe sambamba na Muongo na wengineo,

Najua watakuja wameshupaa kukanusha staement hii; mijizi haina aibu hata chembe!
 
Ndio huko anatibiwa mkulu lazima atazingatia maoni ya watawala wa dunia. Hiari yashinda utumwa. Heri angechukua hatua kabla ya kuambiwa cha kufanya. Imetumika lugha ya kidiplomasia sana lakini ujumbe upo wazi-bila hatua mathubuti hakuna hela.
 
wanatakiwa wapigwe stop hata kwenda huko marekani na huku tuwapige mawe maana wezi kichapo chao siku zote ni mawe tu !!
 
Usicheze na Wazungu Bana. Wanatunyanyasa kama wanavyopenda.

Tunajinyanyasa wenyewe.Kama tungekuwa nasisitiza TUNGEKUWA na viongozi makini,wazalendo na wenye uchungu na TAIFA lao hatukuwa na sababu yoyote ya kutembeza BAKULI.Ni AIBU tena AIBU kubwa kwa TAIFA tajiri kama letu lenye kila aina ya madini,kwenda kuomba $Mil 16, halafu hapo hapo viongozi wanaliibia TAIFA $121M,what a shame.
 
Yote kayataka Tumbili haya

Mzee Tupatupa

Mzee Tupatupa mbona mie nampongeza sana,na hao wafadhili washike hapohapo mpaka na UCHAGUZI walazimeshe uwe HURU na wa HAKI.

Sijui kama kuna watu watapona UGONJWA wa moyo
 
A big up Kafulila; you put it correctly kwamba scandal ya tegeta escrow inaliumiza taifa zaidi ya pesa zilizoibiwa; now look; ulichokisema bungeni ndio hiki hapa; Muhongo muongo na Saada mkuya walilidanganya bunge; Saada mkuya nae atimuliwe sambamba na Muongo na wengineo,

Najua watakuja wameshupaa kukanusha staement hii; mijizi haina aibu hata chembe!

Yule mama si anavaa hijab? Hawezi kuwa mwizi wala kusema uongo bana!!!
 
Washington, D.C.-The U.S. Government's Millennium Challenge Corporation (MCC) issued the following statement after its Board of Directors (Board) held its annual country selection meeting on December 10, 2014:

"MCC takes seriously all of its country partners' commitments to combat corruption. At-today's meeting, MCC's Board expressed continued concern over corruption in Tanzania, including the implications of the recent case involving Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

The Board noted that Tanzania has experienced a significant decline over the past seven years on the key indicator measuring efforts to control corruption.

While the Board voted to allow Tanzania to continue working to develop a compact proposal-given its passage on MCC's policy scorecards and its strong previous performance as an MCC partner-the Board stated its expectation that the Government of Tanzania must take firm, concrete steps to combat corruption before a compact is approved.

Further, the Board voted to continue MCC's engagement with Tanzania with the understanding that, in accordance with the Tanzanian State House December 9 statement, the Tanzanian government would act promptly and decisively on the late November parliamentary resolutions regarding IPTL.

The Board also reaffirmed more broadly that Tanzania must undertake a series of previously agreed upon structural reforms to improve the efficiency, effectiveness and transparency of the energy sector, and more generally to deal with wider corruption."
Imetulia vema sana hiyo. But here the problem is Rushwa imekuwa -rooted ndani ya office Kubwa kuliko zote nchini....
Code:
 
Back
Top Bottom