FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,810
Mmh... 'black widow' kama yako ni makengeza, basi tuite kuwa yamekomaa kiasi kuwa yanakaribia kabisa 'kunyofoa' macho yako yote mawili na ndiyo maana hivi sasa umeanza kushindwa hata kusoma maandiko!
Naona lugha imekupiga chenga! au hili nililo-kopi na kubandika halikutoka post namba moja?
Hebu niache mie namsikiliza Carlos Santana saa hizi, ananikumbusha enzi zangu.