Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,976
- 30,159
Yule mama si anavaa hijab? Hawezi kuwa mwizi wala kusema uongo bana!!!
hata wale wenye misalaba mikubwa hawakupokea hela ya ruge
Yule mama si anavaa hijab? Hawezi kuwa mwizi wala kusema uongo bana!!!
hata wale wenye misalaba mikubwa hawakupokea hela ya ruge
Nadhan kioo kilipinda ndo maana anaonekana mrefu na mfupi baadh ya maeneo, ila tukumbuke biases.
Yote kayataka Tumbili haya
Mzee Tupatupa
Yule mama si anavaa hijab? Hawezi kuwa mwizi wala kusema uongo bana!!!
Naam, ameiona "the Board voted to continue MCCs engagement with Tanzania ".
Usicheze na Wazungu Bana. Wanatunyanyasa kama wanavyopenda.
Na hii bila ya shaka ".....the Board stated its expectation that the Government of Tanzania must take firm, concrete steps to combat corruption before a compact is approved"Naam, ameiona "the Board voted to continue MCC's engagement with Tanzania ".