Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Saizi yako hii.Daaah.. How old r u..?
Saizi yako hii.Daaah.. How old r u..?
Shemeji zake na , MBOWE wana gereji bubu arusha, magari yote ya wizi yanafichwa hukoUkiongea habari ya wizi mwambie slaa aliyeiba pesa za watoto yatima na Lema anayeiba magari kule mpakani mwa kenya na tanzania.
Umempatia sana mkuuSaizi yako hii.
Jamaa wezi balaa halafu ndiyo midomo mirefu kama chupa kazi umbea tu wanadhani kila mtu mwizi kama wao.Shemeji zake na , MBOWE wana gereji bubu arusha, magari yote ya wizi yanafichwa huko
Mwambieni MBOWE arudishe mali alizoficha DUBAI, alizipata wakati MTEI ni Gavana BOTInashangaza sana
nchi yenyewe maskini wapo weengi hivi,
wao wamekalia kuiba tu bila huruma hivi hawa watu hawana mioyo ya utu??
wapuuz kabisa,ajabu wengine wanaiba kisha wanaenda kuficha huko huko nje huku ndug zao wanakufa kwa kukosa madawa,
haijatosha tuh hawa wapuuz wakawajibishwa kwenye kura 2015??
Kumbe makamanda wa kuinama?Hayo ongea ukiwa na wamama wenzako hawa.
View attachment 210003
Ukiongea habari ya wizi mwambie slaa aliyeiba pesa za watoto yatima na Lema anayeiba magari kule mpakani mwa kenya na tanzania.
ZilipendwaKama kwenye list hii ume jiandae
Hakuna kitu hapo mambo kama hayo unaoweza kuwadanganya ni kama hawa.Yap! naona leo una makengeza, wapigie simu lumumba waje wakanushe
CHADEMA wengi ni wezi wa zamani, wa Escrow ni wezi wanaoiga wa Zamani.Thats so stupid mind,
So mfano kama hao uliowataja wamehusika na hicho unachokisema ndiyo justifation ya kuhalalisha wizi huo unaofanywa na hawa mafisadi??
kuna watu mnachukiza sana
Kaka hakuna marefu yasokua na ncha. CCM iko nchani, chukua tahadhari.Yote kayataka Tumbili haya
Mzee Tupatupa
Naona unaanza kujuajua kizungu, keep it up!
Saizi yako hii.
Mwambieni MBOWE arudishe mali alizoficha DUBAI, alizipata wakati MTEI ni Gavana BOT
Mfano mmojawapo ambao JK aliwekewa masharti na wazungu akakubali kijinga kama MALIBERALI ?
Mchina yuko standby. Yeye uibe usiibe haimhusu, alimradi apate chake.
Kawambie hatukitaki wabaki nacho wao kama vipi wakupe wewe tanzania ni nchi huru wala haiongozwi na mshenzi yoyote kuwa ifanye nini kwenye mipango yake.