Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

Suala la ESCROW, Ikulu yabanwa zaidi

Ndugu hii nchi haiendeshwi kwa hisani ya marekani wao na ushoga wao wabaki nao nasi tunapanga mipango yetu namna ya kuendesha nchi yetu hakuna mpango wa kutazamia kwa wamarekani.
UKAWA wamezoea kupewa masharti ma DEVID CAMEROUN wanafikiri JK naye ni wa hivyo
 
Wala sio kunyanyaswa mkuu.. Ni kuhakikisha wanachotoa kinatumika kama ilivyopangwa.. Ni aibu hii kwa nchi yetu..
Kawambie hatukitaki wabaki nacho wao kama vipi wakupe wewe tanzania ni nchi huru wala haiongozwi na mshenzi yoyote kuwa ifanye nini kwenye mipango yake.
 
UKAWA wamezoea kupewa masharti ma DEVID CAMEROUN wanafikiri JK naye ni wa hivyo
Masharti kama hayo jk hayuko tayari wafanyiwe wao tu wasiojitambua ila kwa jk wamekwama eti wanataka kupewa gesi bure kama mengi anavyodai jamaa wajinga kweli.
 
mcc's wahisani watasaidia kuielekeza serikali ya ccm utaratibu wa kuheshimu fedha za umma .hii ni aibu kwa serikali ya kikwete
 
Kazi kwao wale waliogeuza huko ndio nyumbani. Kuhamisha mali za watoto na kwenda kula na wageni ilhali watoto wanalala njaa.

Inanikumbusha hadithi ya Esau aliyeuza baraka yake ya mzaliwa wa kwanza kwa bakuli ya dengu. Siku alipogundua thamani halisi ya baraka ile Yakobo alishainyakua akakimbia nayo...akamuachia majonzi tele nyuma.

si uliona alienda kutibiwa huko ili wamuonee huruma na hiyo tezi dume yake? lakini majamaa wamekomaa...
 
Saa hizi mimi nnaajiri watu 123 kama wewe, wanaonifanyia kazi zangu. Jee, una shida ya kazi?

Sina tatizo na idadi ya watu uliowaajiri, je ni kazi halali? Huenda umeajiri watu wakuuzie unga na meno ya tembo. Hebu tuambie kampuni yako inaitwaje? Inalipa kodi? Unasimamia kazi yako saa ngapi wakati unashinda hapa kutetea upuuzi?
 
kikwete aendelee kucheka-cheka tu.
Kikwete mwanaume siyo kama wewe akili zake nyingi sana hata kama utachukua wanaukoo wenu wote kamwe hamtaweza kumfikia upeo wake.

wambie kabisa na wenzako kuwa jk hajwahi kushinikizwa hata siku moja tena pasipo sababu thubutu.
 
mcc's wahisani watasaidia kuielekeza serikali ya ccm utaratibu wa kuheshimu fedha za umma .hii ni aibu kwa serikali ya kikwete
Hizo pesa wabaki nazo wakafungue zaidi madanguro ya kazi zao za kishoga na usgj hatuzitaki.
 
Tulishasema na hata Cdm tunatakiwa kujifunza,hili kuepukana na masharti na kutawaliwa ni lazima muijenge nchi ijitegemee ..acheni upuuzi wa kuwanyenyekea wazungu mambo ya kurudisha ukoloni kwa tamaa zenu za kuhongwa vijisuti hatutaki ilo mlijue si Ccm si Ukawa

KWA HIYO TUKUBALI KUIBIWA NA WABONGO WENZETU kwa kigezo cha kuukata ukoloni mamboleo?????

WEZI SIKU ZOTE HUJIFANYA kuukataa ukoloni mamboleo
 
Mnaibaaaa, mnaibaaa, halafu mnaenda kuwatambia huko kwao kwa kukaaa kwenye mahoteli ya gharama kubwa!!! kumbe fedha zenyewe mmewaibia maskini wa bongo hohe hahe. Halafu mnategemea wazungu wawaheshimu!!! Poleni.

Inashangaza sana

nchi yenyewe maskini wapo weengi hivi,

wao wamekalia kuiba tu bila huruma hivi hawa watu hawana mioyo ya utu??

wapuuz kabisa,ajabu wengine wanaiba kisha wanaenda kuficha huko huko nje huku ndug zao wanakufa kwa kukosa madawa,

haijatosha tuh hawa wapuuz wakawajibishwa kwenye kura 2015??
 
Back
Top Bottom