Stupid question, stupid answer

Kuna mwingine alikujakuniona nimejifungua na anaona nimebeba mtoto ananiulia vipi naona umepata mtoto.
Nkamwambia apana nimezaa mdoli
 
Rafiki; eti nini sababu ya ndoa yako kwisha!?

Mwenzake: ahh sababu ni kifo kaka! Mipango ya Mungu tu!

Rafiki :: kifo cha nani tena?

Mwenzake: cha jirani! Kudadeki weee! Hebu toka hapa kabla sijakata zote!
 
gali imefika kituoni unasimama ili ushuke alafu konda anakuuliza 'dada vipi unashuka!? Unamjibu a a nnablangeti.
 
Mtu anakupigia cm ucku wa manane nakk'uliza umelala?? Ukimjibu napiga misele anakushangaaa
 
Mtu anakuona kila siku na mke wako alafu anakuhuliza eti uyu ni mke wako! Hapana si mke wangu ni mganga wa kienyeji katokea sumbawanga kaja kunifundisha uchawi
 
MZEE; kijana siku hizi unafanya kazi wapi?
KIJANA; nipo tu nyumbani
MZEE; acha uongo kijana si umeajiliwa pale kwenye kampuni mpyaa
KIJANA; kama unujua ukweli halafu bado unauliza maanake unataka kujua uongo
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom