Stupid question, stupid answer

Mtu anakukuta umetulia tuli,anaanza kukuuliza;unasemaje leo mtatoka kwetu?. Unamuuliza;nitatoka kwenu wapi na wewe ni nani?. Anakujibu;usijitoe akili,mimi ni simba na leo tunakutana shamba la bibi!. Unamjibu;kwaheri,mimi nilifikiri naongea na binadamu mwenzangu,kumbe wewe mnyama simba!,umetumwa nini?
 
Dr> kulingana na tatizo lako inabidi ukafanyiwe matibabu nje ya nchi.

Mgonjwa> kwani hapa mmeshindwa.

Dr>hapana hatujashindwa.
 
Mtu anakuona unaenda library kusoma,anakuuliza vp unaenda kufanya nn,mwambie naenda kucheza sebene,mtu anakuona unaingia mckitin/kanisani anakwambia unaenda kufanya nn,mwambie naenda kula mubia/kulamba povu
Mtu wa hivi unamjibu.. NAENDA KULA KITIMOTO
 
Mtu ana anakuambia... NASIKIA UNASOMA... Unamjibu.. NI KWELI MAANA NIPO UKURASA WA sita wa kitabu kinaitwa Njama
 
mtu uko mochware umeenda kuchukua maiti ya mpendwa wako, jamaa anakupia simu >uko wapi?
>nipo mochware.
>we ni mpumbavu nin? Unathubutu kunijibu mimi hivyo?
>hapana mpumbavu sijui ameelekea wapi hapa unazungumza na Jaluo Nyeupe.
 
umetoka wap na unaenda wap?>>nimetoka nyuma na naenda mbele,hivi we ni nani(Wa manchester)?hapana me ni messi
 
Mmekutana njiani...
< Hivi ni wewe au nimekufananisha?
> Itakua ni mimi umenifananisha

< Umepotea sana ndugu yangu,upo kweli?
> Ni kweli nimepotea,ndo naenda kureport polisi wanisaidie kujitafuta

< Mbona una majibu ya kunya hivyo?
> Majibu ya kujamba nimeishiwa yamebaki ya kunya tu

mmmh......we noma aisee!!
 
Mmekutana njiani...
< Hivi ni wewe au nimekufananisha?
> Itakua ni mimi umenifananisha

< Umepotea sana ndugu yangu,upo kweli?
> Ni kweli nimepotea,ndo naenda kureport polisi wanisaidie kujitafuta

< Mbona una majibu ya kunya hivyo?
> Majibu ya kujamba nimeishiwa yamebaki ya kunya tu

Hiyo ya mwisho nimeipenda...maana lazima mtu afyum kama puto..!
 
1.Mtu anakupigia simu halafu anakuuliza we nani .... Jibu Kata simu uangalie skrin yako

2.Unakwenda kwa fundi wa feni ukiwa umebeba feni yako mbovu halafu fundi anakuuliza vipi hiyo feni mbovu?Unamjibu hapana nimeleta kwako unitunzie
3.Unagonga mzigo wa kiwanja mara unashuka kuvua ndomu mzigo unauliza umemaliza...Hapana nimeahirisha so tufanye wakati mwingine so sikulipi leo...
 
Mpo nje ya uwanja wa taifa,mnasubiri mpate ticket mruhusiwe kuingia ndani.Jamaa anawakuta,anawauliza;mnafanya nini hapa,mnasubiri ticket nini?,Mnamjibu;hapana,tupo kwenye foleni ya kulipa ada ya shule.
 
< Kijana una umri gani?
> Miaka 15

< Una uhakika?
> Hapana sina nimeuacha nyumbani

> Mbona unaonekana ni mtu mzima?
> Kwasababu sio mtu nusu

< Akili zako zinakutosha kweli?
> Ndio zinanitosha,nimeshonewa juzi juzi tu
 
lol jf bana meniacha hoi mecheka mie hadi basi, mie natoaga hapa nakrem kwenda kumchekesha mpenz tuwapo kitandani tunacheka mwisho tunaishia mpenz zima taa..... dear toa shuka...... swt kitanda kinapiga kelele lol kweli jf dozi kamili ukiitumia vzr wikend hiyooooooooo full kujiachia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom