Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Ogopa sana mwanamke akiongea neno moja linalofuata tusi.


Yaani huwa tunawaza watoto wetu watakuwa na tabia gani aisee
Aaaaah! Tena hao ndo hawafai....maana kwenye ndoa kuna kufanana ujue so either afanane na ww or ufanane na yy,

Product inayotoka baada ya mfanano ndo mtaenjoy ss....
Ila sidhani kama kuna mzazi anaependa watt wake wawe na tabia mbovu sidhani.
 
walio kwenye ndoa wakitutoa uoga wa ndoa , wakwe, posa, harusi na majukumu stress zitapungua
 
Umeongea kitu cha muhimu ambacho wengi huwa tunajisahau kwacho, unatafuta a perfect wife/hubby wakati sisi wenyewe hatujakamilika.

And to men with money huwa wanahisi akishakuwa content with money basi ni lazima apate mwanake perfect just because ana pesa. Wanasahau kuwa hakuna mwanamke aliye perfect, na wanawake wale wenye vigezo vya wengi nao wanaangalia ni kitu gani extra huyo mwaaume anacho zaidi ya pesa zake. Hapo ndipo taabu inapoanzia.

Na mwanaume mwenye mind set ya aina hiyo huwa hawawi waume bora, maana ego yao ndio itakayokuwa inaendesha ndoa. Then comes "wanaume wangapi wenye pesa ndoa zao tafrani?" Money is something but not everything.

[emoji106] [emoji122] [emoji119]
 
Hiyo everything yake ni pesa, nyumba na gari amemaliza afu anataka a God fearing, faithful, supportive, patient, a momma to his kids blah blah blah (a woman of valour kind of a thing). Hivi hata Mungu akikupa mke wa aina hiyo, you will surely ruin her life coz you dont have what it takes to sustain her. Kabla hujaanza kuangalia mtu mwingine atakuoffer nini, jiulize wewe binafsi utamuoffer nini.

Haleluya!


Amen!..
 
Back
Top Bottom