Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

ushuhuda haupo moja kwa moja ila maelezo yako ndo hayo hayo......
 
Mwanamke anayejitambua haangaliii kama una nyumba, gari au nn
Ndoa ni ni committment...unaishi na mtu maisha yako yote hvo vyote unavitafuta..
jitathimin una sifa za kua mume mwema unajali, unathamini una upendo wa kwelii? Au ndo wale wakorofiii
Nalo neno unapesa sawa huyo dear anapewa hela kwa masimango si unaona unampenzi kama mimi ninapesa unategemea mapenzi yatadumu hapo kwa mwanamke mwenye ufahamu wake? Labda mchunaji atavumilia si anataka pesa, pesa si kila kitu bali pesa huwa nadhamani pali mnapokuwa na mahusiano mazuri

Post sent using JamiiForums mobile app
 
p

unaweza pasha kiporo bila ndoa na hormonies ukazikamua kama kawa, shida ni kujenga familia bila ndoa
Haaa haa kupasha kiporo jamani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hapo sasa unataka perfect woman .... man yeye ana 30% hapo kuna mlingano kweli kama si matatizo tu kila kukicha

Post sent using JamiiForums mobile app
Kabla ya kumpenda mtu, jipende mwenyewe kwanza. My be jamaa kajizira afu anataka kupendwa
 
Yah..ana 33 now akipata anae eleweka miez 6 or mwaka unatosha kumchunguza mtu
Tatizo wanaume wengi wazito kupiga magoti na kumwomba Mungu kilicho bora wanategemea tu akili zao
Wakat unaeza ishi na mtu ata nusu maisha lakin kuna tabia tu hutazijua so ni Kumshirikisha Mungu tu
Embu ona 33yrs halafu umpate ambaye mnachunguzana mpaka 13yrs=46 jamani eeee hiyo hapana, kuchagua sana mwisho kubeba koroma

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nalo neno unapesa sawa huyo dear anapewa hela kwa masimango si unaona unampenzi kama mimi ninapesa unategemea mapenzi yatadumu hapo kwa mwanamke mwenye ufahamu wake? Labda mchunaji atavumilia si anataka pesa, pesa si kila kitu bali pesa huwa nadhamani pali mnapokuwa na mahusiano mazuri

Post sent using JamiiForums mobile app
I agree with you 100%[emoji108]
 
Hakuna raha anayopata mwanaume kama anayopata mwanaume alieoa mwanamke muombaji....anaemjua Mungu kwer na kumfata.

Na hiv wanaume tulivyo wazito kusali/kuomba.....asee omba Mungu umpate mwanamke wa hivyo utapata raha sana chief.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wengine hawajui hilo wanawaza tu vitu vingine sasa mke anaye kwenda ibadani nayule nayeshinda vibarani kusutana si afadhali muda huo akautumia ibadani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usifanye jambo kwakuwa watu wanafanya. Fanya kwakuwa ni sahihi kwako kufanya. Hao walio kwenye ndoa wako kwenye ndoa zao sio yako. Ndoa yako unaitengeneza wewe ukimtanguliza Mungu(if you believe).
Hilo nalo neno mambo yakuiga iga usipojiangalia unabaki na stress zisizo kuwa na maana fanya yako unayoona yanakupa burudani na amani basi sio fulani anaishi vile na mwenza wake duu wafwaaaa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kabla ya kumpenda mtu, jipende mwenyewe kwanza. My be jamaa kajizira afu anataka kupendwa
Yaani vitu hivi vinategemeana kama unatabia nzuri poa omba nawe upate mwenye tabia njema, sasa ukute yeye haeleweki jumamos wala jtatu zote sawa unataka mwenza mwema ndoto hizo mtaokotana magalasa tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yaani vitu hivi vinategemeana kama unatabia nzuri poa omba nawe upate mwenye tabia njema, sasa ukute yeye haeleweki jumamos wala jtatu zote sawa unataka mwenza mwema ndoto hizo mtaokotana magalasa tu

Post sent using JamiiForums mobile app
Kuna mtu alisema yeye kila akidate anadate wanawake vichaa tu, Eli79 akamwambia ajievaluate yeye. Maana itakuwa anaatract wa aina hiyo, hivyo anawaona wanawake ndio shida kumbe yeye ndio shida.
 
Back
Top Bottom