[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawachaguliki[emoji29] [emoji29] [emoji29]
Haha nipo nadumuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dumu magotini mamaa...
Hii kitu inanitesa sana, nilidhani mimi pekeeEe unakuta huyu ana tabia nzuri lakini tako hana, mwingine ana tako ila sura mweeeh.. Huyu ana sura na tako ila tabia mbayaa.. Yaani ni stress tupu braza angu[emoji24]
Ndiyo ilivyo kama kila anayekutana naye ni kichaa ajichunguze naye yawezekana yeye ni mwehu kama si mwendawazimu walio timamu wanamkwepa kwasababu ya tabia zake inabidi amwambie mtu wakaribu yake amuulize anatabia gani mbaya mbele ya wasichanaKuna mtu alisema yeye kila akidate anadate wanawake vichaa tu, Eli79 akamwambia ajievaluate yeye. Maana itakuwa anaatract wa aina hiyo, hivyo anawaona wanawake ndio shida kumbe yeye ndio shida.
Makubwa ndiyo maana wengi hapana kuongozana na wenza wao[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kitu inanitesa sana, nilidhani mimi pekee
iPhone S7
VizuriHaha nipo nadumuuuu
Hii kitu inanitesa sana, nilidhani mimi pekee
iPhone S7
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Makubwa ndiyo maana wengi hapana kuongozana na wenza wao[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
24/7 inasoma mnaraiPhone S7 yako inakaa na chaji wiki ngapi mkuu?
Ashk Majinun! Neno Hili Nilisikia Kwenye Kipindi Fulani Kwenye Tvstress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya
hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Ndiyo ilivyo kama kila anayekutana naye ni kichaa ajichunguze naye yawezekana yeye ni mwehu kama si mwendawazimu walio timamu wanamkwepa kwasababu ya tabia zake inabidi amwambie mtu wakaribu yake amuulize anatabia gani mbaya mbele ya wasichana
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji120] [emoji120]Hahahaaaaa!! Pole sana.
Nope. Yaani ukilala msaa matano usingizi unakata. Afu unakuta huna wa kupiga nae story[emoji31] [emoji31]Njoo tulale, mzungu wa nne.[emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dumu magotini mamaa...
Panga vigezo vyako chini. Kumbuka hakuna mkamilifu[emoji4]Hii kitu inanitesa sana, nilidhani mimi pekee
iPhone S7
Kwanin uogope kuongozana na mwenza wakoMakubwa ndiyo maana wengi hapana kuongozana na wenza wao[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app