Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

Stress za kuolewa/kuoa sio kwa wadada tu!

You can't be serious, he's out there shagging other chicks, just lemme drain it...[emoji12] [emoji12] [emoji125] naona sasa usiku umeingia[emoji1] [emoji1] nimeanza kale katabia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu unataka unifundishe na mimi. We haya tu.

Just let him be, ila am keeping it for him[emoji12]
 
Hiki kipengele cha kunyimwa inaelekea unakipenda sana aiseee!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Coz sipendi kunyimwa, "mke hana amri juu ya mwili wake, vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake. Peaneni na msinyimane, ila muwe mmepanga, ili mpate mda wa kusali"..lol
 
hivi kwa pesa yote ile aliyo nayo mzee mengi si angetulia zake tu machame akae mbali na media attention and all the hard work, mm ningekuwa mengi hata kylln nisingemuoa, wala nsingetafta mtoto mwingine, wala nsingefanya kazi tena ningekaa machame mlimani nakula baridi na mtori taratiibu, cjui lkn labda mzee ana maana yake kufanya hivo Eli79 geniveros


Pesa is something, but it's not everything mkuu..
 
Coz sipendi kunyimwa, "mke hana amri juu ya mwili wake, vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake. Peaneni na msinyimane, ila muwe mmepanga, ili mpate mda wa kusali"..lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sie mwaka ulitosha tukalianzisha hapa bado kidogo miaka 9 tunagonga na hakuna vya kujuta miaka yote hiyo duu mnajenga mnara wa babel au!

Post sent using JamiiForums mobile app
Haha mbona mnara wa Babeli
 
Back
Top Bottom