Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,057
Sawa mkuu, nalisubiri hilo somo kutoka kwakoTaratibu mkuu, ushindwe sasa. I mean, hilo halitakushinda. Nitaleta somo la online dating ili wewe na espy muende sawa.
Sawa mkuu, nalisubiri hilo somo kutoka kwakoTaratibu mkuu, ushindwe sasa. I mean, hilo halitakushinda. Nitaleta somo la online dating ili wewe na espy muende sawa.
Nisikie harusi afu nilale? Hapa nishaanza kuimagine your big day awwwwwwBado tu haujalala?
Haha bomu gani tena lol?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanao siku hizi ana maneno sio ya nchi hii, Umenikumbusha ile siku alinipa bomu! [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Taratibu mkuu, ushindwe sasa. I mean, hilo halitakushinda. Nitaleta somo la online dating ili wewe na espy muende sawa.
Basi mtuhurumiage tunaojicontroll!!Yaani hizi mada inaanza hivi inaishia vingine kulingana na wachangiaji tunavyoipeleka
Post sent using JamiiForums mobile app
Wewe muache tu, sijui anadhani stress ni nzuri. Hanioni mwenzake hapa, uso hauna nuru na mashavu yanachuma kunde mmhHem tulia jamaa afanye yake.
Ooooh!! Hapo sawa.Hapana, sio kujua tu best
Daah sawa tunawaacha bff[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eli79 na Heaven Sent naomba mjadioi mada, mniwache na best yangu.
Wacha we!!!
Waluguru wananiharibia mtoto kwakweli!! Inabidi tu arudi nyumbani, kwanza itakuwa bonus ya yeye kupata mume.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanao siku hizi ana maneno sio ya nchi hii, Umenikumbusha ile siku alinipa bomu! [emoji1]
Fanya tu urudi nyumbani.Nisikie harusi afu nilale? Hapa nishaanza kuimagine your big day awwwwww
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wacha we!!!
Rudi nyumbani, bonus moja tu umekosa!Wewe muache tu, sijui anadhani stress ni nzuri. Hanioni mwenzake hapa, uso hauna nuru na mashavu yanachuma kunde mmh
Mmh kupo tu doro, muwe mnapita tu hata kunisalimia tu jamani. Mara moja kwa mwaka sio mbayaAaaah, Umeanza na wewe. Hivi PM yako huwa ipoje? Manake sipati picha huko unavyoruka viunzi.
Mie nina mpango wa kuihack siku moja nisome.Aaaah, Umeanza na wewe. Hivi PM yako huwa ipoje? Manake sipati picha huko unavyoruka viunzi.
Hahha Yani nimesharudi jamani. Kumbe najiwekea vikwazo mwenyewe lolWaluguru wananiharibia mtoto kwakweli!! Inabidi tu arudi nyumbani, kwanza itakuwa bonus ya yeye kupata mume.
Fanya tu urudi nyumbani.
Daah na wewe uwe unani-pm basi, otherwise ntaifunga tu nijue moja[emoji29] [emoji29] [emoji29]Mie nina mpango wa kuihack siku moja nisome.