Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
HallelujahOh, great Saturday. Sikuumiza vidole bure, it's espy and Prince Kunta. Love is beginning to shine.
HallelujahOh, great Saturday. Sikuumiza vidole bure, it's espy and Prince Kunta. Love is beginning to shine.
Rudi fastaaaa!! Nimegundua ndicho kigezo pekee ulichokosa.Hahha Yani nimesharudi jamani. Kumbe najiwekea vikwazo mwenyewe lol
Humu ndani kuna upendeleo, mie hata pm ya kunisalimia tu hamtumi!! Wakati kuna watu hadi wanakuja kulalamika huku kuwa wamechoshwa pm!!!Daah na wewe uwe unani-pm basi, otherwise ntaifunga tu nijue moja[emoji29] [emoji29] [emoji29]
Nakuombea kunyimwa kwa miezi miwili!!Oh, great Saturday. Sikuumiza vidole bure, it's espy and Prince Kunta. Love is beginning to shine.
Hahaa tunastress hadi za pm khaaHumu ndani kuna upendeleo, mie hata pm ya kunisalimia tu hamtumi!! Wakati kuna watu hadi wanakuja kulalamika huku kuwa wamechoshwa pm!!!
Kwakweli twafwaaaaa!!Hahaa tunastress hadi za pm khaa
Best unanizomea?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
EMT, thanx kiongozi.
Je, wanaume wao hali yao ikoje?
Thubutuuuu!!! Sitakuwepo.Nitakuwa mgeni wako, miezi miwili wataka nishindwe kuwa na concentration kazini?
Bestfriend naanzaje kukuzomea aisee, mbona roho itanisutaBest unanizomea?
Well explained.One could argue that men are not desperate and, thus, stressed out ukilinganisha na wanawake. If you're a man na mambo yako yanaenda vizuri sidhani kama utakumbuka idadi ya wanawake ambao ndugu, jamaa na marafiki wamejaribu kuunganishia ili uwe na mahusiano nao with the ultimate goal of marrying them.
Kama article niliyoweka hapo juu inavyosemaa, for many women, "marriage is the ultimate goal". Tokea wakiwa wadogo, they have been dreaming of meeting a "prince" and stay happily thereafter. But the power of marrying bado ipo kwa wanaume. It is very unlikely kwa mwanamke ku-propose kwa mwanaume. But very few who know how to propose to a man, do get married.
Another could argue the key factor ni kuwa sie wanaume, maisha yetu tumeyapanga in terms of stages. Tunafanya mambo kwa stages. Stage 1 ikikamilika, haturukii stage ya tatu bila kukamilisha stage 2. We don't care about the time. This is so painful to women because wao wanafanya mambo yao kwa kuangalia time. Time is so important to them and, therefore, wanakuwa so freaked out kama muda unakaribia na hajatimiza lengo lake.
If you apply the above in the context of the modern word hali inakuwa even mbaya kwa pande zote. Wanaume wa kuoa wanakuwa wachache kutokana na sababu mbali mbali. Mojawapo ya sababu ni kuwa wanawake wa "kisasa" nao wamekuja na vigezo vyao vya mwanaume wanayemtaka. Wanaume wachache wana-meet hivyo vigezo.
Bahati mbaya vigezo hivyo vinafanana kwa karibu kila mwanamke. Mwanamke wa class 10 anataka exactly the same man ambaye mwanamke wa class 1 anamtaka. On one hand, this makes the market extremely competitive as 10 women could potentially be fighting among themselves kupata attention ya mwanaume mmoja. Hii nayo ni tatizo kwa wanaume 9 ambao hawa-meet vigezo vya wanawake hao 10 as they will be struggling to find the woman they want to marry.
Hili pia kwenu jangastress zipo kote kaka ila wanaume wanajipa moyo kwa kua wanaweza wakapata mwanamke wa kumgonga hata kila siku akienda kona bar,au kwa wahaya
hiko ndo kinachowapa kibr wanaume
sisi wanawake tunasubiri tufatwe ndo tupunguze ashk zetu
Kwa wengine imeshakuwa addiction, we can't go two days without sniffing.[emoji12]Thubutuuuu!!! Sitakuwepo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi kwani ukikosa hauconcetrate? Mbona mimi na Heaven Sent tunaconcetrate?
Umejibu vizuuuuuurrr kabisaa...Khantwe, mfano wako upo sawa kabisa. Kuliko kuzunguka n bahasha miaka mitano, ni heri kuwa na sehemu ukajipatia kipato kidogo, utapunguza soli za viatu kuisha.
The thing is, hiyo ni plan B, baada ya plan A kushindwa, ndio unaona isiwe tabu ngoja niangalie upande huu unakuwa vipi.
Likewise, kama mtu anaona mda unapita, hakuna proposal yoyote ya "ajira" ni heri kujiajiri. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa bado mtu angependa kuajiriwa.
Bahati nzuri sijawahi kusema hiyo nafasi ni ya kwangu najimilikisha kwa hiyo mimi sina shida hata!!Uchokozi huo..hahahaha.
Joseverest kuna mtu anakuchokoza huku
Bonge la point manStress za mwanaume ni pesa tu maana usipokuwanazo wanawake wengi wanye vgezo unavyohitaj utapishana nao na sis hatuna clock age ya kuoa hata ukiwa na 45+ bado unaezaoa mweny 25. Tofaut na wanawake akishafka 30+ ndoa zinamkimbia kabsa
Bomu la toys za kuchezea watoto...lol!Haha bomu gani tena lol?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi mtuhurumiage tunaojicontroll!!