englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,210
Ndio maana wazee wa zamani walikuwa wanasema lazima uolewe awe umwoe mtu ambaye historia yake mnaijua toka utoto with this digital world ni shidaa
Labda kwa muda ila najua kesho utakuwa kuleeee kibandaumiza as usual.
......hahhhhaaa, eti #KibandaUmiza ,
Unyuzi mtamu sana huu, Bro Mentor naona nae anaushiriki kwa nguvu!
Acha nisubirie tu kwanza humu humu...jamaa kibao wa #GGMU wamo humu pia...
kukata mzizi wa fitina nimesha unga dots zangu weeee
ingawa wazembe wa kufikiri wameanza kunitwisha mchaga mie mzigo mzito
lkn nimefikia tamati zinc na dalaber wanajuana kindani na wote wana ids zaid ya moja zikiwemo id maarufu hapa jamvini.
wengine wametumika kama mbuzi wa kafara tu ila baadhi ya id zao zimeshiriki kikamilifu kwenye nyuzi zao zote mbili.
nikiri kwamba mimi sijampima huyo dem ujauzito manake kwanza siko karibu na wanapoish kwa wiki sasa ila nilitaka kushika watu ugoni na ukweli nimewakamata.
haya angaiken na mambo yenu sasa na mie naendelea na mwanangu mgonjwa lol!!
Hahaaaaa! KAMWAGA TELE MUNDO MY HEART BEATS FOR LOLA! Mimi swali langu moja tu kwake, maana alivomwaga vyoote hajali adress hili! WHO IS DABBLER? Maana huyu ndo anae mprotect! THE MILLION DOLLAR QUESTION IS WHY? Maana kajitahidi kweli kumsafisha hatari!
Kuna tofauti ya kuwa common mmbea, unachosikia unaamini na kuwa NSA ambapo unaangali sio the potrayed picture tu but unanda mbali sanaa kutizama WHY THE PICTURE WAS POTRAYED? BY WHO.? TO ACHIEVE WHAT? And who are the true powers behind the picture! Uiwe mzito kufikiri!
Hivi wewe unadhani Dabbler kaamka tu saa 6 usiku kuja kiweka hii mada, akaja mtetezi wake, afu kaka yake zinc akampoke kipira kule, akata lawyer, na mlalamikaji akapata lawyer? Think boy! Think!
HAHAHAAAAAAAAA! Umbea utakutoa roho! I wasnt fihting with you to begin with! We you have no idea wht we are talkin about! So hata picha kwako likiishia hapa sio issue!Mchezo umeshaisha, someone thinks she has lost the game and she is trying to revive the game.
You either go with the results or you fight to reinstate your dignity.
HAHAHAAAAAAAAA! Umbea utakutoa roho! I wasnt fihting with you to begin with! We you have no idea wht we are talkin about! So hata picha kwako likiishia hapa sio issue!
Mi namngoja THE CATALYST aje hapa anijibu WHO IS DAIABLER? And why is this Diabler being protectes at the expense of so many people character assasination including mine! Why does Diabler has to remain a MYTH? AND WHO ARE THE 2 MISFITS IN THIS DIABLER TESTIMONY? And why one dead guy (dormant member) came back from the dead? And who is MISS FIT NO 2? Acha kutoa telemundo na kuchachua story kusacrifise character za wasiohusika GIVE US THE REAL GIST! GIVE US THE MISFIT NO 2 NDO ANASABABISHA THIS DIBLER BABY AWE SO MUCH PROTECTED! Word on the street is h is one lucky of a loaded guy! And influencial in jf too! You backed a wrong treee homieee!
Hahaaaaaaa! Itakiwa ngumu! Huu uzi umeleta so much COLLATERAL DAMAGE! Sasa kila mtu aliekuwa implicated atajisafisha kwa mda wake! Mi nishaonesha inocence yangu in broad day light! Alienisambaza kakosa courage ya kutetea implications zake! My work is done!It aint me you are fighting with BTW, I have always been on your side to tell you. I couldn't hold it that you are implicated, would be happy to see you out of it, but how is that possible with all the fuss we just saw?
Please come out.
Mbona madesa yanachanganywa hivo
yaani....!!!!
mi naona marangi rangi tu hapa!
inawezekana hajisocialize na watu yuko busy mda wote serious na kazi "miss independet"
yani hata wanaume anajifanya hataki ukaribu nao!
tumshauri apunguze ukaksi
ila hapa jf kuna mariooo wanajua kuna wanawake wanatafuta ndoa kwa udi na uvumba so wanakumega na kukuacha tu