WACHOTE TU AKILI HUJUI CHOCHOTE! Hahaaaaaaa! Utaunganisha sanaa dots mwaka huuu! Honeeeeey? Ushasambazwa huku?kukata mzizi wa fitina nimesha unga dots zangu weeee
ingawa wazembe wa kufikiri wameanza kunitwisha mchaga mie mzigo mzito
lkn nimefikia tamati zinc na dalaber wanajuana kindani na wote wana ids zaid ya moja zikiwemo id maarufu hapa jamvini.
wengine wametumika kama mbuzi wa kafara tu ila baadhi ya id zao zimeshiriki kikamilifu kwenye nyuzi zao zote mbili.
nikiri kwamba mimi sijampima huyo dem ujauzito manake kwanza siko karibu na wanapoish kwa wiki sasa ila nilitaka kushika watu ugoni na ukweli nimewakamata.
haya angaiken na mambo yenu sasa na mie naendelea na mwanangu mgonjwa lol!!
Hahaaaa! Mnasambaziana FILES ZA NSA, pm zenu zote ninazo haswaa huyo mama yenu anaewajaza ujinga kaa vitu anatunga na nyie mna mwamini! Hahahaaaa! Mtahangaika sanaa mwaka huu!Lakini amepoteza sifa na vigezo...
Na wewe ushachotwa akili? Hahaaaa!Wanakua wavivu kuunganisha Dots
Mkewe mwenyewe head quater ya mitusi, siokoti, sibahatoshi natengeneza! Mumuache mume wangu atukane atakavyo ITS A FREE COUNTRY!Mimi sio TeamB lakini naamini hakuna TeamB au mwanaume anayejibishana matusi na mwanamke, tena mipasho.
Mwanamke akiongea mwanaume unakaa kimya unatafakari, sio kujibizana.
Jamaa anaboaga jinsi anavyotukanana na wanawake.
lara 1 , u know better than word-fight with me!!!Hahaaaa! Mnasambaziana FILES ZA NSA, pm zenu zote ninazo haswaa huyo mama yenu anaewajaza ujinga kaa vitu anatunga na nyie mna mwamini! Hahahaaaa! Mtahangaika sanaa mwaka huu!
Mkewe mwenyewe head quater ya mitusi, siokoti, sibahatoshi natengeneza! Mumuache mume wangu atukane atakavyo ITS A FREE COUNTRY!
You bet! I dont know better I KNOW EVERYTHING! Nikipoteza sifa patakalika humu unafikiri? Dont even try it at home!
You bet! I dont know better I KNOW EVERYTHING! Nikipoteza sifa patakalika humu unafikiri? Dont even try it at home!
This shit aint about you! Muhusika anajijua, wewe ni collateral damage tu!
REALLY! Dare me! Hahaaaaa! Unaniprovoke niwape ubuyu wa bureee, thubutuuuuuuuu! YE I AM BLUFFING AND BLAFFING HOW DOES IT CONCERN YOU?Bluffing!
REALLY! Dare me! Hahaaaaa! Unaniprovoke niwape ubuyu wa bureee, thubutuuuuuuuu! YE I AM BLUFFING AND BLAFFING HOW DOES IT CONCERN YOU?
......hahhhaha, BJ banaaaaaaaaaa.....!? Dont say that, plssss?!
Yaani umeadimika wewe, anyway...i know pakuanzia kukutafutia, #GGMU !
Mmh!! na crisis hii mbona GGMU naiona chungu bestito..ha ha
Nimefichwa nikafichika..mahaba mazito yakheeeee
Hahaaaaa! KAMWAGA TELE MUNDO MY HEART BEATS FOR LOLA! Mimi swali langu moja tu kwake, maana alivomwaga vyoote hajali adress hili! WHO IS DABBLER? Maana huyu ndo anae mprotect! THE MILLION DOLLAR QUESTION IS WHY? Maana kajitahidi kweli kumsafisha hatari!Mwenzio kashamwaga, usipomwaga umeogopa! Watu haooo, wanachukua point tatu zao.