masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,382
- 19,283
Huyu mod wa MMU hana kazi zaidi ya kufuta na kuhamisha post, anakera sana
Kaunga hem njoo,chaaaaa!
Ukielewa na mimi nieleweshe maana naona huu u guest unaniacha nyuma
ndo maana satu haaaanzishi mada tunachangia zile zile hata ifike wili tatu auuuw inaboa yaani awwww
sijui nani kariport ama sijui vipi
awww ngoja ninyamaze maana bani la mwezi linanukia
SIMCHOKOZI MTU TENA HUMU
My dear nimejitahidi kufuatilia mpaka l ended up being lost.
Hii kitu ya speculation siiwezi, sikuzaliwa mujini miye.
Ila story ina mafunzo, haijalishi kama ya kweli au ya kutunga.
Na kingine nilichojifunza kwa uzi huu, ni kuwa kuna a lot going on kwenye PMs, iwe mitongozo au umbea and l am too old for them both.
Lakini amepoteza sifa na vigezo...
My dear nimejitahidi kufuatilia mpaka l ended up being lost.
Hii kitu ya speculation siiwezi, sikuzaliwa mujini miye.
Ila story ina mafunzo, haijalishi kama ya kweli au ya kutunga.
Na kingine nilichojifunza kwa uzi huu, ni kuwa kuna a lot going on kwenye PMs, iwe mitongozo au umbea and l am too old for them both.
duh kiwanja kiwanja kiwanja
Uzi gani tena ule ulioanzisha?hapa hakuna wa kumwamini mtu aisee maana kuna watu mhhh
Be very proud my friend :yo: :yo: :yo:
And the funniest part ni kwamba huyo jamaa kaja kucomment na humu kwa ID nyingine.
Kipya kinyemi, hongera mwaya