Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Mie niko hapo hapo kwenye kujirahisisha. Sasa kama unajijua uko desperate na ndoa kumegana kunahusikaje?
Shida ya mahusiano yenu ya kisasa. mnatumiana PM siku moja, kesho yake mnaonana mlimani city, keshokutwa asubuhi mnazini na condom na jioni mmeshaaminiana mnananihii bila kinga. weekend inayofuata engagement!

Bora sie wa kizamani, mtu anafukuzia hadi anakata tamaa hajarembuliwa jicho. hadi ulegezewe jicho jasho limekutoka. Na hapo huajruhusiwa kuhold hands, sijaongelea kissing! Hata kama unamuonjesha, ndo ushamjua hadi bibi wa nyanya ya babu yao mama yake wa kambo

anajirahisisha ili aone ionekane wanapendana mana kashajua huyu anataka ndoa so atatumia mbinu za kupeleka barua ya uchumba,posa na kutangaza ndoa
kumbe mkaka ana yake kichwani siku hz wadada wamePMiwa jf kesho anamegwa na kunza kuota ndoto za shela
 
Maisha kweli magumu,ila Mungu atakupigania na atakupatia mume anae kufaa,haijalishi umri amini hivyo
 
duuuuh jamiii ina marioo wengi now days

yaani mwanu,e akishaona una kazi ni tatizo ndo maana mi nasema huwezi kunipa ela basi stay away fromme maana najua in comin ays utaniomba

mbona mimi nakupa pesa lakini unanipotezea mbayaa?
 
Mie niko hapo hapo kwenye kujirahisisha. Sasa kama unajijua uko desperate na ndoa kumegana kunahusikaje?
Shida ya mahusiano yenu ya kisasa. mnatumiana PM siku moja, kesho yake mnaonana mlimani city, keshokutwa asubuhi mnazini na condom na jioni mmeshaaminiana mnananihii bila kinga. weekend inayofuata engagement!

Bora sie wa kizamani, mtu anafukuzia hadi anakata tamaa hajarembuliwa jicho. hadi ulegezewe jicho jasho limekutoka. Na hapo huajruhusiwa kuhold hands, sijaongelea kissing! Hata kama unamuonjesha, ndo ushamjua hadi bibi wa nyanya ya babu yao mama yake wa kambo
unafkr sasa hiyo ni issue sasa hiv!
wallahi haya maisha watu wanajipa shiiiida msome wifiyo kuanzia pg 32 utajua ni nini!
lara 1 bhaaaaaasi mama yatosha!
kwa hisaaani yangu!mi naanza kuona aibu kabla hii post haijafungwa!
puleeez !
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh kweli ulikuwa desparate na ndoa! Huwa hatuwalei wanaume kwa kuwapa hela jamani. Yeye anatakiwa akulee wewe.
Ukitaka frastration jifanye unamlea
Mwanaume. Ni bora uwe single kuliko kumlea mwanaume ni MZIGO.

Yaani hii story imenigusa hasaa.
Ni kweli umakini unahitajika wa hali ya juu. Jamani tusione sooo kumwambia mtu Use condom au tukapime HIV. Sijui kama ulikumbuka dadangu maana hicho ni kimeo.
 
Twende zetu kule bana kuna breaking news kuhusu Falcao.

Huu uzi mwachie gfsonwin maana anautumia kama kigezo cha kutochungulia kule kwa man utd. Mwulize hata BelindaJacob
hapana unajua nilikuwa na ED kido anaumwa so nikaamua kupotezea kmuda hapa
ngoja nrudi klabuni
 
Bado nasoma posts zote ndani ya huu uzi. Ila nakiri, mwanzisha uzi ana uandishi wenye mvuto ajabu! Kuna kitu kimenigusa. Nitachangia nikimaliza kusoma uzi wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom