sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 798
Pole sana mtoto mzuri, tulia tu utapata anae kuweza..
Nitakuambia shida yako moja tu. Unadandia magari kwa mbele. Tena yakiwa kwenye mwendo. Jiwekee standard. Usidate na mtu kabla hajawa rafiki yako. Kutana na mtu jf ama hata fb, get to know him. Kuwa rafiki tu, no kissing, no flirting hata kwa mwaka mzima. Baada ya hapo, muamue kama mnawezana. Huwezi peleka mtu akatoe posa kwenu na haujui ana kazi gani, anaishi wapi, amesoma shule gani na gani na akafanya kazi wapi! Utaumia, utapitiwa na kugaragazwa hadi ushangae.
Huyu wa sasa nae ni mwehu tu. Watu wengi wana id nyingi humu, ila sio kujianzishia thread na kujijibu. Yaani namuona atakavyokusumbua na fake fame. Halafu, hao wadada wengine walioapply uchumba bado anawasiliana nao. Hivi seriously hata kazini umekosa mtu wa kukutongoza jamani???
lol....
Pole yako....duh ila kuna wanawake wana moyo kabisaa et nakua na mchumba jeifu kwamba nakopita sitongozwi....wanaume mitaani wamejaa kibao
unafikiri kila mwanamke anabahati ya kutongozwa? Belive me, kuna mwanamke anaweza akaanza Chuo mwaka wa kwanza adi wa mwisho, hata kutongozwa asitongozwe...
Sa sijui hana mvuto au ni gundu lake tu....
Nitakuambia shida yako moja tu. Unadandia magari kwa mbele. Tena yakiwa kwenye mwendo. Jiwekee standard. Usidate na mtu kabla hajawa rafiki yako. Kutana na mtu jf ama hata fb, get to know him. Kuwa rafiki tu, no kissing, no flirting hata kwa mwaka mzima. Baada ya hapo, muamue kama mnawezana. Huwezi peleka mtu akatoe posa kwenu na haujui ana kazi gani, anaishi wapi, amesoma shule gani na gani na akafanya kazi wapi! Utaumia, utapitiwa na kugaragazwa hadi ushangae.
Huyu wa sasa nae ni mwehu tu. Watu wengi wana id nyingi humu, ila sio kujianzishia thread na kujijibu. Yaani namuona atakavyokusumbua na fake fame. Halafu, hao wadada wengine walioapply uchumba bado anawasiliana nao. Hivi seriously hata kazini umekosa mtu wa kukutongoza jamani???
Me nasema kwamba, wanaotafuta wapenzi humu ni watu waliokosa direction ya mapenzi au maisha kwa ujumla, watu na akili zao wanamuomba mungu awapatie mke/mume, na wengine wananaribu bahati zao mitaaniKah aanze chuo adi amalze bila mtongozo lol mie ngejidumbukiza mtoni maana kama ni gundu imepitiliza.....unajua ni ngumu sana kupata mwanaume au mwanamke mitandaoni kama ni binadam na zlzotimia kichwan lazma ujiulze uyu kanitaka mm na je anataka wangap au uyu kanikubar mm na je kakubar wangap.....lol nakumbuka navo join jf nliweka uzi wakutafta bwana yan ilikua ni balaa mi nilweka ki masihara koz nlijua sio kila liandikwalo umu ni la ukwel mbona nlipokea pm za kutosha na Aslimia kubwa ilikua ni id mpya