kukata mzizi wa fitina nimesha unga dots zangu weeee
ingawa wazembe wa kufikiri wameanza kunitwisha mchaga mie mzigo mzito
lkn nimefikia tamati
zinc na
dalaber wanajuana kindani na wote wana ids zaid ya moja zikiwemo id maarufu hapa jamvini.
wengine wametumika kama mbuzi wa kafara tu ila baadhi ya id zao zimeshiriki kikamilifu kwenye nyuzi zao zote mbili.
nikiri kwamba mimi sijampima huyo dem ujauzito manake
kwanza siko karibu na wanapoish kwa wiki sasa ila nilitaka kushika watu ugoni na ukweli nimewakamata.
haya angaiken na mambo yenu sasa na mie naendelea na mwanangu mgonjwa lol!!