Mi baba mizimaaa mda mwingine inakuomba vocha bila hayaaa au nipigie we si vocha unawekewa kazini! Nyoooooo!
Haliwezi kuwa jibaba hili,litakuwa shipa.
Mi baba mizimaaa mda mwingine inakuomba vocha bila hayaaa au nipigie we si vocha unawekewa kazini! Nyoooooo!
Mate upo?vp promise yetu?Kweli kabisa aisee daah...
mdogo wangu mie mzima ila tu uncles wako wanagonjoka so niko home since jana.
hili saga wee liache tu mie nalijua ntakusimulia baadae
mdogo wangu mie mzima ila tu uncles wako wanagonjoka so niko home since jana.
hili saga wee liache tu mie nalijua ntakusimulia baadae
pole siku moja utapata unayempenda huyo wa kwanza na wa pili wote hawakufai
Mkuu wewe mda mwingi ni kule kwa kina Mesut Özil na Alexis..hahahaha...!
Kaka ujumbe umeshamfikia.inatosha mkubwa anaonywa Mara moja
Na wew unaleta umbea apa amuonye nan si akaonye ndugu zake kwao anionye mm ananijua
Uwiiiiii Yaan siku hizi wanaume mmekuwa lugumya kweliii mnataka kulelewaaa tu aisee hata mi siwezii yaan uhamie kwangu nikupe pesa,unitukane nikuangalie tuuu weeee mbona wanaume wenye tabia nzuri wapo tu japo wanazidiana tabia mbaya na nzurii
Tena humu Jamii wanaume Marioo wapo kibao wengi wanaishi makwao na ni wakubwa wanatakiwa wawe na miji yao mmxxxxiiuuu mnaboajeeee !!!!
Uzuri una kazi umesoma mume atakuja hata kanisani utampata tu jamanii
Jaman wanaume wachache siku hizii mi ngoja nimng'ang'anie Msukuma wangu Mungu amjaalie tabia njema milele loo ye hata akikwama ntamlea tu na vocha ntamuwekea
Kwako dada usione wanaume humu wanaandika andika na kujifanya wanazo wamesoma hamunaaaa tunaowajua ni wachache tu wenye misimamo na kujitambuaaaa
Mario yeyote asiniquote apitilizeeeee mfyuuuu miss chagga, lara1 hebu yaoneni mamariooo yanaudhiii
Haaa dume zima ovyooo ptuuuu embu pita kule unakiherehere ka mkojo wa asubuh mav ww unapenda kuogopwa sasa kwa taarfa yakooo wanaokuogopa haohao sio mimi kujifanya unajua kuongea point ili usifiwe si ukaanzishe jukwaa lakoo.....
Hahaaa bi shoga umenikosha na hii koment.....