Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,148
- 124,753
Ajira hakuna na watu wanataka kuoa hivyohivyo. Mwanaume asiyekuwa na hela haruhusiwi kuoa? Na kama haruhusiwi afanyaje sasa wakati umri umekwenda sana?
Awe na adabu basi...
Ajira hakuna na watu wanataka kuoa hivyohivyo. Mwanaume asiyekuwa na hela haruhusiwi kuoa? Na kama haruhusiwi afanyaje sasa wakati umri umekwenda sana?
We nae siku hizi umekuwaje sijui kashasema hataki jamaa ajue kama ni yeye wewe unaleta maswali tena....
BTW Hujambo?
Au sema mshari tu. Inabidi ajipangeHajamzidi ....hajamfikia kwanza
Ila matola michango yake inaonyesha ni mkali mkali hivi
Afu ww unajifanyaga unaakil sana pumba.vu zakoo pumba zpo uko chin kwako nyang'au mkubwa weeee kila ck waga nakuangalia tu tena sk nyingne ukikuta koment yangu upitie mbal
Umenuna? dawa ya kichefu ni ndimu au kama umechukia fanya hivi;Na wee unazan kila unachoandika kila mtu huaga anakipenda shetan wewee tena ukoomeee nyambafuuu dume zima ovyooo.....nlikua nakuheshim ndio maana mara nyingi ukinchokozaga nakupigiaga kimya saa naona leo umechokoza nyuki kwenye mzinga......kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojiskia kama ni pumba ulijuaje kama sio na ww ni mmoja wapo wa hizo pumba kaanzishee jukwaa lakoo jingaa weee
Mh..mada imekuingia? Halafu nlidhani ni wewe ndio umeandiaka hili liuzii, hebu nitoe mashaka pls......ukweli japo wanaume mtachukia.... wanaume wakuniomba pesa, uwezi kujisimamia, kuja kukaa kwangu na kunikopa hela ... kiukweli silei huo upuuzi kabisa.. usiponiambia unafanya nini siyo ishu muhimu nione maisha yanaenda na uniwekei mzigo ..... unauvumilivu kwa kweili jianaume linajua kusimamisha tu lakini awezi kutafuta nguvu za kusimamisha acha kabisa....
kuna watu wana mpaka id za kike na kiume na wanajitongoza wenyewe humu....unafikiri utani but very true
Mi baba bila hayaaa au nipigie we si vocha unawekewa kazini! Nyoooooo!
Mwanaume atakayechukia maelezo yako atakuwa na matatizo makubwa,ukweli japo wanaume mtachukia.... wanaume wakuniomba pesa, uwezi kujisimamia, kuja kukaa kwangu na kunikopa hela ... kiukweli silei huo upuuzi kabisa.. usiponiambia unafanya nini siyo ishu muhimu nione maisha yanaenda na uniwekei mzigo ..... unauvumilivu kwa kweili jianaume linajua kusimamisha tu lakini awezi kutafuta nguvu za kusimamisha acha kabisa....
ukweli japo wanaume mtachukia.... wanaume wakuniomba pesa, uwezi kujisimamia, kuja kukaa kwangu na kunikopa hela ... kiukweli silei huo upuuzi kabisa.. usiponiambia unafanya nini siyo ishu muhimu nione maisha yanaenda na uniwekei mzigo ..... unauvumilivu kwa kweili jianaume linajua kusimamisha tu lakini awezi kutafuta nguvu za kusimamisha acha kabisa....
Bora uolewe na wa huko huko mitaani,au kazini kwako,,hata mi nishakujua we ni naniii
Bora uolewe na wa huko huko mitaani,au kazini kwako,,hata mi nishakujua we ni naniii
free p alafu unaombwa tena hela looooh kuna watu wana moyo
yaani mimi mvulana anaiambie tu nipunguzie vocha nipo sehem siwez kupata nitamuuliza maswali hatorudia
ila hili ni tatizo la kuingia kwenye uhusiano na mtu asiekua na muelekeo
Au sema mshari tu. Inabidi ajipange
Naanza na hii siipitii mbali wewe ni bwegge jinga kabisa au niweke thread zako hapa ushuhudie upumbavu wako? wenzio wakati tunajiunga JF hatukuivamia kwa pupa, Tumboo akili utumbo.