TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,848
- 2,051
Aisee!!! [/COLOR]
Mbona umeshangaa
Aisee!!! [/COLOR]
Na wee unazan kila unachoandika kila mtu huaga anakipenda shetan wewee tena ukoomeee nyambafuuu dume zima ovyooo.....nlikua nakuheshim ndio maana mara nyingi ukinchokozaga nakupigiaga kimya saa naona leo umechokoza nyuki kwenye mzinga......kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojiskia kama ni pumba ulijuaje kama sio na ww ni mmoja wapo wa hizo pumba kaanzishee jukwaa lakoo jingaa weee
Nini tena wife
Aisee kuna watu wanajua kuitumia "vizuri" JF! Mtu una ID mpaka 7? Moja tu haikutoshi? Haki ya nani watu wa humu JF ni zaidi ya uwajuavyo!!
daaah, kuna kitu nimejifunza hapa!
Pheeeew!
Huwa sina kawaida ya kusoma mada ndefu ndefu ila hii yako imenivutia na sielewi hata kwa nini.
Kwanza pole.
Lakini, hivi kweli unategemea kupata mtu mwaminifu (kwa viwango vinavyokuridhisha wewe) humu?
Na sijui nikupe hongera ya kuwa mwelewa au mvumilivu kwa kulitunza kifedha (japo kwa kiasi fulani) jibaba zima la miaka 44! Una moyo!
Halafu uko antisocial kiasi gani hadi ushindwe kabisa kukutana na wanaume kitaani? Kwani huwa hutongozwi hata barabarani ukiwa unapita?
Na huu mwandiko wako huu....ni kama nakujua vile......
Pole tena na kila lenye kheri kwenye mchakato wa maisha unayoyatamani.
Aiseeh!
https://www.jamiiforums.com/love-connect/328955-natafuta-mke-mwenye-jinsia-mbili-shemale.html
Huyo wa pili sounds interesting...
Hahahahaha, wanajitongoza wenyewe?
Ndio maana huwa nasema, multiple ID's za nini? Mtu mwenye ID zaidi ya moja lazima ana agenda za siri. Lazima atakuwa na katabia ka kuficha na kufanya mambo kwa siri.
Pia hata wewe sista una walakini, utakutana vipi na mtu atoe posa hata humfahamu vizuri? Is it desperation au nini hicho? Hujui anaishi wapi, hujui background yake, elimu yake, kazi yake...then unakubali kutolewa posa kizembezrmbe tu?
Hapa swala sio mmekutana wapi, kwa style yako hata mngekutana kanisani, usingejua chochote kuhusu yeye. Huko church hamfundishwi dating procedures? Manake umesema wewe no mtu wa church...Then unam-host na kumpa matumizi...aaaaah!
Ingekuwa sista angu hakika ungelamba vitasa.
Umeanza lini ufukunyuku?
Nimejuwa kwanini thread za dharau kwa wanawake hapa Jf zinapostiwa.Nyuma ya pazia kuna mengi ufanyika na mkitibuana huko mnakuja kuyamwaga hapa.