Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Ushaur: achana na wanaume wa mitandaoni kama unashida yakumalza hamu za kimwili ndio utafte humu jf ila wa ndoa awez kupatkana jf mwamin mungu kwan mume mwema anatoka kwa mungu na sio jeiefu pole kwa yaliyokukuta


JF ni jehanum? Na wewe unafanya nini hapa? Yule uliyempata kwenye kile ki uzi chako cha kusaka mchumba alikutoa nyege tu? Better stay quite than writing nonsense here!
 
huu muandiko ni wa yule yule tu ninayemfahamu mimi story teller wetu

Viol Amini nakwambia ukishakuwa na kadegree kuolewa tabu huu ni ushuhuda
cc DEMBA tumboo mmeona enhee ??
 
Last edited by a moderator:
Daaa
Hii story nimeipenda sana..lolz
Humu kuna magaidi, marios, wazee wa Cameroon.. kila taste ipo.

Yote tisa kumi.. kuwa na multiple id's..kurespond on ya own threads..n.k. kweli jf ni kisima cha burudani a.k.a jf is never boring.

Pole sana dalaber punguza kasi.. mume anapatikana popote sio jf tu,..kazini, kanisani, safarini, hotelini..popote mydia. La muhimu jipe muda wa kufahamiana nae. All the best
 
Last edited by a moderator:
Kati ya wenye degree ni wangapi wameolewa na wangapi hawajaolewa,
usipindishe mada huyo mwanaume yeye ana elimu gani?
Mbona mpaka sasa hajaoa?
Hajawa na stable life?
huu muandiko ni wa yule yule tu ninayemfahamu mimi story teller wetu

Viol Amini nakwambia ukishakuwa na kadegree kuolewa tabu huu ni ushuhuda
cc DEMBA tumboo mmeona enhee ??
 
Last edited by a moderator:
Pole, nina shaka kama kweli unaweza kupata mtu wa kuanzisha nae familia kupitia mitandao! Yawezekana wanaotafuta wachumba humu wana familia zao wanatafuta michepuko tu ndo maana unakuta wana ID zaidi ya hizo. Ila najiuliza kama kweli wewe huna tatizo coz kote huko ulikopita kuanzia shule ya msingi hadi hapo ulipofika, kanisani, kitaa hakuna mwanaume ambaye umewahi kuvutiwa naye, ukizingatia mwenendo wa maisha yako siyo wa kutilia shaka sasa iweje hata waamini wenzio kanisani wasivutiwe na wewe amabye hakika umelelewa kimaadili? kwanini wanaokuona wasikupendekezee watoto wao, kaka zao na hata marafiki zao? SIKUKATISHI TAMAA NA STYLE UNAYOTUMIA KUTAFUTA MCHUMBA ILA NASHAURI KAMA UTAMPATA HAPA JF JIPE MUDA WA KUMFAHAMU VIZURI..ANZISHA URAFIKI WA KAWAIDA, FAHAMU RAFIKI ZAKE, NDUGU, WAZAZI NA HATA WAFANYAKAZI WENZAKE KABLA YA KUMRUHUSU AINGIE BONDE LAKO LA UFA.
 
ukweli japo wanaume mtachukia.... wanaume wakuniomba pesa, uwezi kujisimamia, kuja kukaa kwangu na kunikopa hela ... kiukweli silei huo upuuzi kabisa.. usiponiambia unafanya nini siyo ishu muhimu nione maisha yanaenda na uniwekei mzigo ..... unauvumilivu kwa kweili jianaume linajua kusimamisha tu lakini awezi kutafuta nguvu za kusimamisha acha kabisa....
No wonder mnachezewa na kuliwa ovyo...
Utakuwaje na mahusiano na mtu usijue chanzo chake cha kipato?
That's why wengi mnaishi na majambazi na drug dealers in the name of love
 
If you really need a man... look out of JF... ingawa kwenu hukuzoeshwa kutoka lakini kama vipi jitahidi tu kusocialize nje huko.

It helps a lot...
 
Pole mpendwa, umenigusa sana, Ila tu najiuliza hivi uliwezaje kuendelea kuwa nae baada ya kupata info zake kwanza hana shughuli yoyote anaishi kwao zee zima la miaka 44 kmimi hilo pekee lingenifanya nitimue mbio za farasi, pili watoto 6 kila mmoja na mama yake hapo ndo kabisaaa hata kama angekuwa na shughuli na elimu ya kutosha ningeshindwa, achia mbali hizo tabia zake za kugomba na kutukana bila sababu ya msingi mbaya zaidi wewe ndo umtuze yeye na matumizi ya hao watoto wake utoe wewe mweee, inshort hakuwa na sifa hata moja ya kuwa mwanaume wa mwanamke yoyote alietimamu, ilikuaje dada yangu ukayavumilia ya kuubeba huo msalaba badala ya kumtimulia mbali? Anza kujibadilisha wewe mwenyewe from inside, jiwekee viwango na ujithamini lakn ukienda hivyo hata ukiipata hyo ndoa hata kama haitakuwa ya mtu wa online unaweza kupata tu hata huko mtaani lakini hiyo ndoa ikaja kuwa msalaba ambao hutaweza kuubeba, manake ume ji sacrifice kupita kiasi alimradi tu upate mwanaume wa kukuoa
 
Kati ya wenye degree ni wangapi wameolewa na wangapi hawajaolewa,
usipindishe mada huyo mwanaume yeye ana elimu gani?
Mbona mpaka sasa hajaoa?
Hajawa na stable life?

wewe endelea kubisha tu kama hujaolewa na kadegree chako usinilaumu mimi
mwanaume marioo ndio saizi za wanawake wanaofanya kazi za ofisini mtu hawezi kukaa shule miaka 23 tena aoe tabu ya milele
ha ha ha ha
 
Kumbe it's them sperm donors!, kila kukicha ni w'ke hivi, w'kke vile, joto hasira kumbe washalikorofisha kwa wafadhili, I thought something was wrong somewhere!
 
Uwiiiiii Yaan siku hizi wanaume mmekuwa lugumya kweliii mnataka kulelewaaa tu aisee hata mi siwezii yaan uhamie kwangu nikupe pesa,unitukane nikuangalie tuuu weeee mbona wanaume wenye tabia nzuri wapo tu japo wanazidiana tabia mbaya na nzurii

Tena humu Jamii wanaume Marioo wapo kibao wengi wanaishi makwao na ni wakubwa wanatakiwa wawe na miji yao mmxxxxiiuuu mnaboajeeee !!!!
Uzuri una kazi umesoma mume atakuja hata kanisani utampata tu jamanii

Jaman wanaume wachache siku hizii mi ngoja nimng'ang'anie Msukuma wangu Mungu amjaalie tabia njema milele loo ye hata akikwama ntamlea tu na vocha ntamuwekea

Kwako dada usione wanaume humu wanaandika andika na kujifanya wanazo wamesoma hamunaaaa tunaowajua ni wachache tu wenye misimamo na kujitambuaaaa
Mario yeyote asiniquote apitilizeeeee mfyuuuu miss chagga, lara1 hebu yaoneni mamariooo yanaudhiii
 
Last edited by a moderator:
Pole mwenyewe,
halafu nikwambie tu nimeolewa na mtu elimu yake hata usitake kuijuia,
and we have happy life kuliko wewe unayehangaika na watoto wa form four ili uwageuzegeuze utakavyo,
wewe endelea kubisha tu kama hujaolewa na kadegree chako usinilaumu mimi
mwanaume marioo ndio saizi za wanawake wanaofanya kazi za ofisini mtu hawezi kukaa shule miaka 23 tena aoe tabu ya milele
ha ha ha ha
 
No wonder mnachezewa na kuliwa ovyo...
Utakuwaje na mahusiano na mtu usijue chanzo chake cha kipato?
That's why wengi mnaishi na majambazi na drug dealers in the name of love

Ndio hawa waume Wa akina kajala,aunty Ezekiel n.k
 
Mkuu, afadhali hata Yahya maana anapanga chumba chake mwenyewe na fiksi zake za mjini. Miaka 44 anakaa kwa mama yake? Sipati picha. Ndio hao mnaosikia kambaka mama yake apate dawa ya utajiri!
Hizi zilikua tabia za watoto wa kiswahili kipindi cha nyuma, hawafanyi kazi wao ni kuvaa kupendeza na kuzunguka mijini. Kwa miaka hii nashangaa kuona hili jambo linaendelea . Maisha yana changamoto nyingi sijui huyo mtu anazitatua vipi? au anajitoa ufahamu? Inasikitisha sana..
 
kumbe kuna watu wanang'oa vitu humu let me be serious kidogo nipate cha kusimulia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom