Na wewe mtoa mada hujiamini. Unabadilisha Id then unaandika story ambayo unaamini kabisa msomaji akiisoma atajua ni wewe, hapa sijajua lengo lako la kubadiri ID.
Inaonekana kuwa your so desperate na marriage, kila mtu anapenda kuoa/kuolewa lakini usije ukaona kama ni laana kuchelewa kumpata mwenza. Na kwa stori yako inaonekana ulimruhusu aje ajitambulishe kwako huku hata kumjua vizuri bado.
Vijana tuweni makini, tuweni na subira tunavotaka kuingia kwenye stage ya kuoa/kuolewa, na wengi wanafanya hivyo hasa wakitamani tu siku ya kuvaa shera, suti na kukata keki.
Ushawahi kufikiria huyo mme/mke mwenye kazi yake nzuri, pesa mingi, na maisha mazuri akiugua miaka mitano kitandani kama utavumilia? na ndio maana wengi wamekuwa na Relationship/marriage za maigizo. But naamini bado kuna wanaume na wanawake ambao ni husband/wife material.
dalaber ametafuta mchumba lakini wachumba wenyewe miyeyusho tu hawajatulia.
Naona confusion tu huku
Ngoja nirudi kule maskani kwetu
Mmmmmmmmmmmh! How old are you? Jaribu ku face your ghosts uwe mtu wa bata refu, tafuta mashosti wa kukutia shoti na kuzurura nao, your life wil change for good! Utamingle na watu balaa, utakula vya watu mpaka usaze! Hizi online staff ni complicated hata real life pia coz wanaumethese days sound nyingi sanaa na ufekerooo! But nina matumaini utapata mtu unaedeserve!
Nilikuwa najiuliza kwann hakuandika hii habari kwa id yake anayotumia kila siku mpaka afungue nyingine? Wakati anajua huyo muuhusika atajua ni yeye alieandika/alieandikwa? Anaficha nn? Kuna kitu anaficha sio bure.
Aiseee??? Si mchezo pole mwaya
Nishamjua both mwanamke na mwanaume hehe ukisoma michango yao wala huwezi amini kuna kitu nyuma ya pazia,
heheee na jamaa hajatokea hapa kabisa labda kaja na ID mpya,bidada nae kaja kushangaa na id yake ya zamani....
Pole mhanga wa tukio hili.
NSA tunasubiria report kamili!
mhhhh, really?
Wanaume wamepungua sana.
Pole mamy
comments zoooote hujaona ya kuqoute hii imekustua enh?
ila mnawezaje huu ujasiri mbn ni beyoond nyege na upweke?
uko desperate kiasi hiki?
una lack nini as a woman?
sisemi humu huwezi pata mtu wa kuwa nae serious!mi nna marafiki kibao wa ukweli nimewapata jf na tunashare zaidi ya maneno ya keyboards!
lakini mbn kama huku kuangukia pua kunakutokea kila wakati kwa style hii hiii?
hebu wajue kwanza watu before haya makitu ya ndoa sijui posa!
heeeeee!