wa mitandaoni 99% ni matapeli
Wa mtandaoni ni akina nani? I beg to differ with u kabisa.
Naamini unaweza ukampata mtu sehemu yoyote, iwe barabarani, supermarket, ofisini,online,msibani,kwenye harusi, kwenye msiba n.k. Kinachofuata baada ya pale ni mawasiliano ya hapa na pale then mnaweza mkaonana. lakini kitendo cha kuonana sio ndio mkikutana tu mnaanza kusex..(Na hii ndio mbaya na wengi mnafanya hivo). Chunguzaneni hata tabia kama mnaendana, nendeni sehemu tofauti tofauti as friends(Hata kama mtu wako anakaa mbali sio kigezo cha yeye akikutembelea msex)
Then baada ya kujiridhisha na tabia angalau uwe ushamjua 45% mtu wako then mnaweza hata kukis n.k
I have a friend of mine ameoa last year na girl wake 1st tyme kamuona fb. And she is a wife materia.
Hiii ndo inawakuta wengi(Wengine wanaiita love at the 1st sight).. Mnawasiliana hapa vizuri, appointment dinner au mnaenda Bendi.mnafika huko mnakunywa mpaka saa 8 usiku, unafikiri kitakachofuata ni nini? hapo utalalamika eti kisa mapenzi ya online
Jf na mitandao ya kijamii mingine zinaonyesha uhalisia wa maisha tunayoyaishi mtaani, kuna watu wanaibiwa humu,wanatapeliwa, wanaona, wafanya biashara n.k. Na ndio maana ukifuatilia wengi wanaolalamika humu ukiwauliza mitaani/jamii zinazowazunguka wanawachukuliaje utasikia; wanasema naringa, wananiboa tu sina tym nao,hamna mtu wa levo zangu, wambea tu.... all in all huwezi ishi maisha exceptional.