Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Kah aanze chuo adi amalze bila mtongozo lol mie ngejidumbukiza mtoni maana kama ni gundu imepitiliza.....unajua ni ngumu sana kupata mwanaume au mwanamke mitandaoni kama ni binadam na zlzotimia kichwan lazma ujiulze uyu kanitaka mm na je anataka wangap au uyu kanikubar mm na je kakubar wangap.....lol nakumbuka navo join jf nliweka uzi wakutafta bwana yan ilikua ni balaa mi nilweka ki masihara koz nlijua sio kila liandikwalo umu ni la ukwel mbona nlipokea pm za kutosha na Aslimia kubwa ilikua ni id mpya
Dah! Kumbe ulikuwa unatujaribu sio? Ukawa unazichora PM zetu tu!