kumbe wengine ni magaidi eeeh?
Cc Mafikizolo
Zinc au yupi
Maisha ya kila mtu hata sie tulio vijijiniPesa ndiyo kila kitu aisee napenda pesa sana kwa sababu inanurahisishia maisha yangu
Namhurumia Jembe Lara 1 kujihusisha na cheap person like MatolaInferiority complex! Anapendaga kulazimisha kuogopwa.
Hii yako ina walakini, si rahisi mwanadada akajiita msichana. Usije ukawa unatafuta Free K kijanja. Weka picha yakoPole dada ,kwa changamoto ulizokutana nazo nimepata darasa kutoka kwako, pia mi msichana nimejifunza vitu ,unapatikana mkoa gani
Namhurumia Jembe Lara 1 kujihusisha na cheap person like Matola
Kiuno chenyewe kinakinga ya Sangoma kutoka Marangunitategua na kiuno ili ile kazi nyingine usifanye ha ha ha ha
Ana hekima, je hekima zake unazifuata?unahekima sana mkuu hongera keep it up..
Probability hiyo ni kubwa ambapo hata sie wa vijijini hatutasalimika. Lakini 0.01 inaweza kuwa 1 kwa sie wa vijijini.Wa mjini mtajiju CC Miss Chaggawa mitandaoni 99% ni matapeli
Na hata huko kwenye safari zake za kikazi hakutani na watu? nahisi ni yeye mwenyewe hajaamua kujiweka 'available' au ana vitabia vinavyofanya me waogope kumtokeaFirst of all control ur desperation maana hiyo ndio matokeo yake.
Pili mimi siamini kwenye uhusiano wa online. Umesema umesoma sana,ina maana kuwa shuleni kote huko hakuna wanaume ambao wana jitambua ulikutana nao? Kanisani huwa huendi? Kwenye harusi? Huna hata marafiki wawili ambao unaiva nao na mnaendana uwe unatoka nao sehemu ambazo unazipenda?
Hata uwe antisocial vipi lazima swali moja hapo litakuhusu otherwise wewe ndio utakuwa tatizo zaidi kuliko hata hiyo desperation na hao wanaume wa ajabu unao kutana nao.
Kuna sehemu na namna nyingi ambazo unaweza kukutana na mwenzi mkajenga urafiki na kufahamiana.Kuwa antisocial sio sifa lakini kuwa unajiachia sana nayo ni tatizo hivyo anza kujichanganya na usiwe desperate sana just take your time kumjua mtu na si kukimbilia ndoa.
All the best
hivi mtu unakuwa na ID 7, zote za nini? tutumie mitandao kwa busara tuache ujanjaujanja. ila story yako nzuri sana ntaomba niipeleke kwenye radio ili watu wajifunze zaidi, usisahau kuja na part 2 ya huyu wa sasa. tumia mitandao kwa faida kama kupata kazi, tender n.k, wachumba wa mitandaoni ni kuunganisha vikojoleo kwa burudani tu. mke/mume pambana kumtafuta kwenye mazingira yako unapoishi. miss chagga hii story isikutishe j.mosi ratiba yetu kama kawa lazima nije dalisalama unitembeze. miss neddy kuwa makini na ID watu wanazo 7 unashangaa unatongozwa na mtu mmoja kwa ID 5. teh, teh, teh. sasa dada vipi ndoa lini? maana naona Age go.
Ana hekima, je hekima zake unazifuata?
Probability hiyo ni kubwa ambapo hata sie wa vijijini hatutasalimika. Lakini 0.01 inaweza kuwa 1 kwa sie wa vijijini.Wa mjini mtajiju CC Miss Chagga
Nndumi Kamkukundya Kuore Kyemlema Pfo; Naone mlya mai Lara 1 na Miss Chagga. Kwa wasiojua kizungu: Ina maana kuwa mwanaume akishakupenda hakuna kinachoshindikana.Uwiiiiiiiiiii ngachokaa miee