Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Kweli kabisa mwanaume majukumu si bla bla nyingi
Hakuna KWA SHIDA NA RAHA? ila maisha ya mahusiano hayako fair kabisa, miss chagga unajua kwamba huyu dada alichofanyiwa kama angekua yeye nimmwanaume wala asingeleta hii mada? kwetu inaonekana kufanyiwa ni sahihi ila nyinyi sasa,....hahahahahahahahaaaaaa mario@work
 
Last edited by a moderator:
Pole dada ,kwa changamoto ulizokutana nazo nimepata darasa kutoka kwako, pia mi msichana nimejifunza vitu ,unapatikana mkoa gani
 
Hizi ID zaficha mengi bi mkubwa, waweza kuta ni mpole ila mjanja juu ya keyboard tu!!!

Kwani uwongo? nikionaga thread kama hizi hadi nashangaa hawa wanaume wenzetu sijui wanatumia dawa gani mpaka wanawake wanafunguwa mikoba yao na kuwapa pesa, kwakweli huwa sielewi kabisa sisi wengine tunaonewa sana.
 
Hahaaa..mafunzo ya utotoni ndio mafunzo yenye efficiency maridhawa, huku ushajua shida ni nini na stress zishakupractice unadhani utaelewa mafunzo ya kupenda? hii naifananisha na jail training, uko kifungoni unapewa mafunzo ya ujasiriamali............

Bora uweke standards zako, mtu hajaqualify unamwacha akatafute type yake.

kabisa mkuu inasaidia sana maana kama ukishindwa kuwa na maaumuzi kabla ya ndoa itakukost sana ndani ya ndoa
 
Hakuna KWA SHIDA NA RAHA? ila maisha ya mahusiano hayako fair kabisa, miss chagga unajua kwamba huyu dada alichofanyiwa kama angekua yeye nimmwanaume wala asingeleta hii mada? kwetu inaonekana kufanyiwa ni sahihi ila nyinyi sasa,....hahahahahahahahaaaaaa mario@work

Bora hata wewe ndugu yangu umeliona hili mfumo jike unasimikwa kwa nguvu ya ajabu, hili jina Mwanaume ndio linafanya tunakufa na tai shingoni na wanawake wanaijuwa hii weakness na wanaitumia vilivyo.
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee! Tatizo ni hamu yako ya ndoa iliyopitiliza ndio ina sababisha hay a yote....,.. na usipo achana na hiyo hamu na ukaachana na kufanya vitu kwa pressure za watu yatakupata ambayo hutoweza simulia hata kwa id nyingine.

Punguza pressure ya ndoa na achana na haya ya kwenye mitandao maana utalizwa sana your so weak...na una amini bila ndoa huwezi kuishi..

Pole kwa kukutana na gaidi...

kweli she is so desperate yani ndani ya mwezi mmoja hadi kupeleka barua ya posa kwanza ashukuru mungu kajionea vimbwanga mapema kabla hata ya hiyo ndoa
 
Hakuna KWA SHIDA NA RAHA? ila maisha ya mahusiano hayako fair kabisa, miss chagga unajua kwamba huyu dada alichofanyiwa kama angekua yeye nimmwanaume wala asingeleta hii mada? kwetu inaonekana kufanyiwa ni sahihi ila nyinyi sasa,....hahahahahahahahaaaaaa mario@work
dikembe its pain
 
Last edited by a moderator:
Duuuuu!!! Nlikuwa wap mieeeeee!!! Na huu moyo aisee Mungu aksaidie umpate mwanaume wa kwel haya magube gube na yakupishe kabsaaaaaaaa
 
Kazi ya mtu = pesa: mipango ya maisha=Pesa. Elimu=Pesa. Hivyo usijione unyonge ukiitwa mpenda pesa. Bila pesa hakuna maisha. Cha bure huwa ni hewa tu.
Pesa ndiyo kila kitu aisee napenda pesa sana kwa sababu inanurahisishia maisha yangu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom