Kama hukifahamu vema kiingereza usikitumie
o
Hahahaaaaa! Ila kama free p mwenyewe package ya watu8 afu mdada mwenyewe ana mahela balaaa, kwani kitu gani? Namfuga tu hivo hivo! Kama kumfuga siwezi tunapiga tu za kirafiki kurelaxisha mwili na ubongo!
Matola baby you are my no 1 hivo ziwezi kukurecomend ili kujiongezea competition thubutuuu! So i have to recomend some else, Vin D is ya sworn enemy hence tha leaves Watu 8 in the recomendaton zone! Cc miss neddy, unamfatilisia snaa watu 8. Baby snake turned vernomous viper!
hahanha humu watu wanataka kugegedana tuuu wafurahie maishana kupeana ngoma.
Aiseeh!
https://www.jamiiforums.com/love-connect/328955-natafuta-mke-mwenye-jinsia-mbili-shemale.html
Huyo wa pili sounds interesting...
Jf zaidi ya uijuavyo..
Kwa huo mwezi mmoja jamaa lazima alilionja tunda.
Ndio maana huwa nasema, multiple ID's za nini? Mtu mwenye ID zaidi ya moja lazima ana agenda za siri. Lazima atakuwa na katabia ka kuficha na kufanya mambo kwa siri.
Mkuu hilo si la kuuliza....
Ndio maana huwa nasema, multiple ID's za nini? Mtu mwenye ID zaidi ya moja lazima ana agenda za siri. Lazima atakuwa na katabia ka kuficha na kufanya mambo kwa siri.
Pia hata wewe sista una walakini, utakutana vipi na mtu atoe posa hata humfahamu vizuri? Is it desperation au nini hicho? Hujui anaishi wapi, hujui backgrounkaziyake...then unakubali kutolewa posa kizembezrmbe tu?
Hapa swala sio mmekutana wapi, kwa style yako hata mngekutana kanisani, usingejua chochote kuhusu yeye. Huko church hamfundishwi dating procedures? Manake umesema wewe no mtu wa church...Then unam-ht na kumpa matumizi...aaaaah!
Ingekuwa sista angu hakika ungelamba vitasa.
Ushaur: achana na wanaume wa mitandaoni kama unashida yakumalza hamu za kimwili ndio utafte humu jf ila wa ndoa awez kupatkana jf mwamin mungu kwan mume mwema anatoka kwa mungu na sio jeiefu pole kwa yaliyokukuta
Kakubali posa ndani ya mwezi...iwe kuonja tena!!!!..huyu sista kanikera sana, naturally wanawake wamepewa kipaji cha kumsoma mwanaume pindi akitongozwa, Sijui hawa wa siku hizi wakoje..siku moja tu anaacha chupi nyumbani na kwenda kwa bf uchi..aaah!!!Kwa huo mwezi mmoja jamaa lazima alilionja tunda.
Hicho ndiyo kitu nawalaumu wanawake, ni wepesi wa kutoa K. Ila acha wamegwe mpaka hapo watakapopata akili. Mungu awanusuru watoto wetu wa kike na majambazi ya mapenzi.