Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
tumboo said:
Ushaur: achana na wanaume wa mitandaoni kama unashida yakumalza hamu za kimwili ndio utafte humu jf


Aisee!!!
 
I never new what is going on behind these forums. Nimefanya study ndogo na kugundua watu humu wanagegedana saana. Yaani ungekuwa ni mtaa watu wanajuana ungekuta mwanamke mtaani kashagegedwa na wanaume hata 20 the same kwa wanaume. Yaani kuna watu humu wanawaza kutongozana tu. Poleni na Mungu awarehemu
 
Hii mambo ya mahusiano ni sheeedah sana! Cha ajabu tulio serious hatupati walio serious...
 
Humu jf ukitafuta bwana/mke/mchumb/rafiki pm zinakuja Id zote mpya aisee,
pole sana mdada,
nahisi umejiweka classic mpaka wanaume wanaona shida kukutongoza,sikushauri uendelee kutafuta mabwana humu wengi waume za watu,wengine marioo,
wengine watoto wa primary utaadhirika aisee,
kuwa makini,tafuta hata jirani yako ila siyo humu.
 
Mamy mie nakushauri achana na wanaume wa humu ndani kama kweli una kiu ya kuolewa na kumpata wako wa milele ,do this Piga goti lako na umlilie mungu akupe mme mwema ,anza kwenda kanisani unaweza kutana nae huko ,Popote pale mungu atakupa wako

Mungu atakutana na hitaji la moyo wako ukiomba kwa roho na kweli

Wanaume wengine jamani looh
 
Mamy mie nakushauri achana na wanaume wa humu ndani kama kweli una kiu ya kuolewa na kumpata wako wa milele ,do this Piga goti lako na umlilie mungu akupe mme mwema ,anza kwenda kanisani unaweza kutana nae huko ,Popote pale mungu atakupa wako

Mungu atakutana na hitaji la moyo wako ukiomba kwa roho na kweli

Wanaume wengine jamani looh
Kwa style yake hata kanisani watamla na kumdanganya tu...
 
Hajamzidi ....hajamfikia kwanza

Ila matola michango yake inaonyesha ni mkali mkali hivi

Kwahiyo wewe ulidhani mimi ni zezeta? mtu anakuja kuongea pumba zake hapa wewe unatalajia tumgongee like button kwa kuandika pumba?
 
Mbutananga! Hii si ngeni sana, wanaume siku hizi wanataka vya bure tu na wako tayari kwenda mbali hadi kujitambulisha na kulipa mahari wakati wanajua kabisa hawahitaji ndoa, yamewatokea wengi haya na kama usipokuwa makini kumchunguza mwanaume lazima uangukie tu , haaa mwanaume si mwenzio kabisa kuweni makini they always take women for granted na hasa wakijua una kazi na uko desperate na ndoa, pole mdau!
 
halika yupo mahali fulani anayekufaa, hapa be very careful.
 
Unajuwa wewe binti huna akili unaandika pumba tupu, kwahiyo sisi wanaume ambao tupo JF tunatoka kwa shetani? Tumboo akili utumbo.

Afu ww unajifanyaga unaakil sana pumba.vu zakoo pumba zpo uko chin kwako nyang'au mkubwa weeee kila ck waga nakuangalia tu tena sk nyingne ukikuta koment yangu upitie mbal
 
Kwahiyo wewe ulidhani mimi ni zezeta? mtu anakuja kuongea pumba zake hapa wewe unatalajia tumgongee like button kwa kuandika pumba?

Na wee unazan kila unachoandika kila mtu huaga anakipenda shetan wewee tena ukoomeee nyambafuuu dume zima ovyooo.....nlikua nakuheshim ndio maana mara nyingi ukinchokozaga nakupigiaga kimya saa naona leo umechokoza nyuki kwenye mzinga......kila mtu ana uhuru wa kuandika anachojiskia kama ni pumba ulijuaje kama sio na ww ni mmoja wapo wa hizo pumba kaanzishee jukwaa lakoo jingaa weee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom