Stories za wachumba wa Jamiiforums

Stories za wachumba wa Jamiiforums

Status
Not open for further replies.
Pole mwenyewe,
halafu nikwambie tu nimeolewa na mtu elimu yake hata usitake kuijuia,
and we have happy life kuliko wewe unayehangaika na watoto wa form four ili uwageuzegeuze utakavyo,

hivi kama watu wanaigiza unafikiri ndio ukweli ?
hivi kuna mtu ashawahi kusema ndoa yake ina majanga humu ?
usitake kujifanya malaika hapa.
 
Kwanza niungane na magwiji wa mahaba na huba kukupa pole kwa mkasa huu.

Pili nisikutishe, bali nikutie nguvu kuwa uzoefu uliopata kwa huyo "braza", ukakuongoze vema kama ulivyotanabaisha vizuri tu.

Tatu nikukumbushe neno la wahenga kuwa: kuolewa ni bahati na kupata mtoto ni baraka, hivyo endelea kufurahia maisha maana ipo 'incident' moja tu huko uendako itakayokuhakikishia maisha ya furaha daima. Hata hivyo, kuifikia incident hiyo hauna budi kuimarisha imani yako ya mahusiano kwa njia hizi. Pia nikukumbushe kuwa hofu ya kupata mwenza wa maisha ni hofu ya kibinadamu, hivyo usidhani ati uko peke yako. Maana yake ni kuwa furahia maisha 'and have fun'.

Nikutakie kila la kheri rafiki.
 
Dah... Ukistaajabu ya Social Networks utayaona na JF...

Pole sana bidada, kuleteza sio kuanguka. Inuka jipanguse vumbi na usonge mbele. Hebu jipe muda na usahau kuhusu ndoa. Kuwa busy na kazi, biashara, kanisa. Mume atakuja automatically, ila ukikaa unamuwaza saana oooh utaangukia pua aisee!!
 
Kuna mahusiano gani kati ya jinsia ya kiume na hiki ulichokisema


Hii ni kanuni mla huliwa na unapoliwa usichague pakuliwa, utamu wa samaki sharti umle mpaka mkiani upekenyue mpaka jichoni maana kuna mafuta mafuta.

Kimfaae mtu chake, cha mtu mavi, jasho la mtu haliliwi, wahenga walisha sema.

Yanini kutumbulia macho cha mwenzako ili hali unajiweza kipesa.

hata bibilia inasema mwanaume atakula kwa jasho si kilaini laini tu katu haikusema mwanamkee na kingine kama unataka kuwa kichwa cha familia hiyo ni one of the majukum
 
Mh..mada imekuingia? Halafu nlidhani ni wewe ndio umeandiaka hili liuzii, hebu nitoe mashaka pls......

siyo mimi dikembe huwa situmii ids nyingine huwa sina tabia mbaya ... ila inahuzunisha kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Nimependa personality yako though huwa siamini sana kwa watu kujielezea wenyewe walivyo ila kama ni real upo hivyo hongera sana na endelea kujitunza.

Epuka mabazazi..social medias zina mambo mengi sana na asilimia kubwa ya watumiaji ni fake na wanatumia fake IDs.. Ogopa watu wanaojifanya wema nyuma ya keyboards...

Piga goti kwa Mungu, omba akuonyeshe njia salama ya kumpata mume mwema kwako atakaekuthamini, kukujali, kukuheshimu na kukupenda.

My Take:
Tuliza akili, usiwe desparate na hayo mambo, kwani ndoa zimeshaandikwa mbinguni, kila mtu ana sababu, muda na siku yake ya kuoa/kuolewa ambayo ipo na ya kwako itafika tu.
 
kuna watu wana mpaka id za kike na kiume na wanajitongoza wenyewe humu....unafikiri utani but very true

Khaaaaaaaaaaaaa!!! umenifumbua macho leo! Loh! sasa wanafanya hivyo ili iweje? wakati wenzao wengine wako seriosly kutafuta wenza? watu wabaya sana.
 
hhHhhahhia hiii kiboko lakini utaanzaje tu kunibip

wako wanaume wengine akishakufukuzia na akaona una dalili za kumkubali upepo wa mawasiliano unaanza kubadilika mara akubip au anatuma tafadhali nipigie, sasa hapo mimi hata kama nilishaanza kujenga interest inapotea
 
Mwanaume atakayechukia maelezo yako atakuwa na matatizo makubwa,

Kuna watu nawafahamu ni madalali wa bidhaa pale sokoni kariako wanapiga pesa nzuri kila siku, naunga mkono hoja yako ili mradi mwanaume siyo jambazi na anajitambuwa na anajitahidi kuonesha nafasi yake kama mwanaume katika majukumu ya nyumbani go for him bila kujari kazi yake.

Kuna mijanamke mazuzu inatombwatombwa hovyo kisa jamaa sijui anafanya kazi ubalozi wa Uingereza wakati hata mia yake huioni ujinga huu.

mimi sihitaji kuona hiyo mia yake hata inaonekanaje nacho hitaji majukumu ya ndani kama mwanaume afanye si nyumba inahitaji hichi yeye wimbo wake sina hela to hell... nani kakwambia mwanaume ni kusimamisha tu... mwanaume majukumu na kutunza familia... siku zote ninasema kujikimu mwenyewe naweza na siwezi tegemea mwanaume ila nahitaji kuona mabadiliko katika maisha yetu ya kila siku... sijianaume limeridhika linakaa linaangalia tv from morning to evening na bado anaingia bar kutumuia hela asiyojua kuitafuta akikutana na mimi atajuta atabeba mizigo sihendekezi majitu mavivu mimi aiii.....
 
"The law of attraction states that every positive or negative event that happened with you was attracted by you."
 
Ngoja ufike miaka 35 kama ujafanya kama mwenzako na mpaka mahali na harusi utagharamia mwenyewe.ongea maneno hayo sababu una 20

miaka ni namba tu maisha ni zaidi ya ndoa mkuu na wala siogopi nimeshaface mengi na hili halinishindi ..... nina nguvu naweza kusimama na kutetea haki zangu no matter how much need i have ....... maisha yangu lazima pale napo taka na si kuendekeza ndoa aenye stress
 
Pole sana mkuu

Hahaaaa...hao jamaa unaokutana nao! kiboooko? IDs 7??? wanazihudumia vipi? wanawezaje kubalance muda wa kutafuta hela na muda wa kuchat jf na ID zao saba? Hao wamejiajiri kwenye social networks, kutafuta wadada na kulelewa, nadhani watakua matanashati sana.

Halafu pia wewe ulaumiwe sana, kwanza una miaka mingapi? Yaani hujui kufanya machaguzi ya mwanaume unaye mtaka? Wewe ni maharage ya mbeya? au unahisi ni mbaya sana hakuna anayekutaka? kwa kazi ,kipato chako na elimu yako sitegemei kama utakuwa unakurupuka katika maamuzi ya kuwa na mtu kiasi hiki....

Pole sana ila next time mchunguze mtu ujiridhishe kabla ya kumpa moyo wako acheze nao.

kweli kabisa usemalo mkuu.. si kila mtu wakumpa moyo wako utaumia kwa kweli
 
free p alafu unaombwa tena hela looooh kuna watu wana moyo

yaani mimi mvulana anaiambie tu nipunguzie vocha nipo sehem siwez kupata nitamuuliza maswali hatorudia

ila hili ni tatizo la kuingia kwenye uhusiano na mtu asiekua na muelekeo

kwahiyo muelekeo kwa upande Wako Ni kutoombwa kitu❓❓
 
Uwiiiiii Yaan siku hizi wanaume mmekuwa lugumya kweliii mnataka kulelewaaa tu aisee hata mi siwezii yaan uhamie kwangu nikupe pesa,unitukane nikuangalie tuuu weeee mbona wanaume wenye tabia nzuri wapo tu japo wanazidiana tabia mbaya na nzurii

Tena humu Jamii wanaume Marioo wapo kibao wengi wanaishi makwao na ni wakubwa wanatakiwa wawe na miji yao mmxxxxiiuuu mnaboajeeee !!!!
Uzuri una kazi umesoma mume atakuja hata kanisani utampata tu jamanii

Jaman wanaume wachache siku hizii mi ngoja nimng'ang'anie Msukuma wangu Mungu amjaalie tabia njema milele loo ye hata akikwama ntamlea tu na vocha ntamuwekea

Kwako dada usione wanaume humu wanaandika andika na kujifanya wanazo wamesoma hamunaaaa tunaowajua ni wachache tu wenye misimamo na kujitambuaaaa
Mario yeyote asiniquote apitilizeeeee mfyuuuu miss chagga, lara1 hebu yaoneni mamariooo yanaudhiii

mwanume vivu siwezi nitamtegua hata mkono usiku akiwa amelala nijue nauguza kilema mfyuuuuuuuu.... dude lina miguu mitatu yote inasimama. na mikono miwili siyo chizi nimpe hea ya matumizi nitakuwa nimelogya..... niafungua kituo cha kukopa awe anarudisha na riba kabisa huuu ni kuendekeza upuuzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom