Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

Hizi zawadi nina wasiwasi nazo
Mshindi wa pili kashinda zawadi huku toka mwezi July alipoandika mada yake mpaka siku ya Kutangazwa mshindi akiwa amepata kura 2 tu.

Na pia mada yake ni hadithi tu, na wala haina ingredient kubwa ya "change", yaani haina input kubwa ya maana ya kubadili maisha ya watu.

Jamii forum hapa imebutua, tena imebutua sana!

Tuwe honest, mada ifuatayo inasaidiaje kuchange maisha ya Watu?

 
Hongera Mzee Saidi Mohamed
Uandishi wake ni tofauti na hayuko JF kufurahisha dola ili kupata uteuzi kama kina Mayalla na wapuuzi wenzake...
Mzee Saidi ameiona na kuitembea dunia ambayo wewe unaiota na hutakaa uifikie mpaka kufa kwako...
Kama unaona uandishi wake ni wa Udini, hilo ni tatizo lako la "selective perspective"...
Hakuna hapa aliyewahi kuleta historia mbadala ya kutafuta uhuru wa Tanzania zaidi ya vitabu na siasa ulivyoaminishwa, ni kama ulioaminishwa na wazungu kuwa hakuna historia ya mtu mweusi katika dunia..............

Kudos Mzee Saidi Mohamed..
 
Sasa hilo andiko linasaidiaje kubadili maisha ya watu?.
Naona wamempa tu, lakini andiko halina substance, ni story tu!

Kwani maana ya story ni nini mkuu? Heading yenyewe inasema story of change.

Unaweza usione mantiki kwenye hiyo story lakini ina mafunzo makubwa sana kwa watawala/ viongozi wanaopata fusra ya kutuongoza.

Wakizingatia maudhui yaliyomo kwenye hiyo story itanufaisha jamii.
 
Back
Top Bottom