Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

Kwaiyo tumekubaliana kwa mshindi wetu pm kutajaa kwa hongera na hela za bia 🤭😉🤓
 
Mohamed amekuwa akitoa mchango mkubwa sana wa Uandishi wa Habari/Makala mbalimbali katika Jukwaa la Historia ndani ya JamiiForums.com[/B]
Nawapongeza JF kwa kuendesha shindano, pia kwa kutoa zawadi walizoahidi. Nawapongenza washindi kwa kukazi kubwa ya kuweza kuandika stories of change ambazo zimezipiku stories nyingine 1500 na ushee. Kwa mujibu wa vigezo vilivyowekwa. Mnastahili. Hongera sana na Kongole sana.
====
Nyongeza

Hata Nguruvi3 alistahili. Au amegoma kuwa verified?
 
Sipo mzee baba. Tupo hapa.km.watazamaji mimi na wewe
Usikate tamaa. Tunakushukuru sana kwa kuweka wazi story yako. Nakuhakikishia inaenda kusaidia wengi kuliko ulivyotarajia. Na utapata baraka nyingi sana.
====
Tathmini yangu fupi sana ya uendeshaji wa shindano na stories zilizofuzu kwa zawadi.

Pongezi nimeishazitoa kwa waendesha shindano na washindi kwenye bandiko moja hapo juu ndani ya uzi huu.

Ni kweli, mabadiliko mengi chanya ya kusaidia watu ama jamii ama ulimwengu uongozwa na mamlaka za kiserikali ama serikali inayoongoza nchi. Mfano, nchi ya China kufanya mabadiliko ya uendeshaji nchi ulioiwezesha kuwa miongoni mwa mataifa makubwa ulimwenguni, au Singapore ilivyoweza kubadili mifumo ya kudhibiti rushwa na kuboresha elimu ya watu wake na kuwa taifa muhimu kiuchumi huko bara Asia. Pia mabadiliko ya kiuchumi yaliyofanywa na nchi za ulaya kwa kuja na dhana ya soko huria/uria. Haya ni mabadaliko chanya yaliyoongozwa na nchi.

Lakini bado kuna mabadiliko ambayo uongozwa na watu binafsi, ama kampuni binafsi ama kikundi kisicho na madaraka serikalini. Mfano ni mabadiliko yaliyofanywa na Steve Job (R.I.P) kwenye masuala ya simu za kiganjani, Bill Gate mwenyewe, Max Melo na wenzake kwenye kuanzisha Jambo forum baadaye Jamii forums ya sasa. Hii ni mifano michache ya watu binafsi walioleta mabadiliko chanya.

Sasa nikiangalia zawadi zilizotolewa kwa washindi wa pesa ni kama shindano lililenga kutafuta stories of Change za kuisaidia serikali kufanya mabadiliko (dira ya taifa, TRA, na rufaa za mahospitali). Ninaomba mnkosoe kama mtazamo wangu huu ni batili nitakubali kukukisolewa. Kumbuka stories zote zilizoshinda ni muhimu sana kwa serikali na wananchi kwa ujumla. Hata hivyo, hiki kigezo cha kutafuta stories of change za kuisaidia serikali kilitakiwa kijulikane mapema. Washiriki wa shindano wajikite uko. Nina imani tungepata stories of change nyingi zaidi. Kwa hiyo, stories of change zinazoongozwa na watu binafsi hazikupewa umuhimu kwa mtazamo wangu wakati wa kuamua nani awe mshindi.

Mbali na mapungufu haya madogo (kwa mtazamo wangu binafsi ambao upo mezani kukosolewa), kwa mara nyingine nawapongeza waandaji wa shindano, washindi, na washiriki wote wa shindano.

NB: Swali; kulikuwa na mwakilishi wa serikali ya Tanzania katika utoaji tuzo kwa washindi?
 
Sasa nikiangalia zawadi zilizotolewa kwa washindi wa pesa ni kama shindano lililenga kutafuta stories of Change za kuisaidia serikali kufanya mabadiliko (dira ya taifa, TRA, na rufaa za mahospitali). Ninaomba mnkosoe kama mtazamo wangu huu ni batili nitakubali kukukisolewa. Kumbuka stories zote zilizoshinda ni muhimu sana kwa serikali na wananchi kwa ujumla. Hata hivyo, hiki kigezo cha kutafuta stories of change za kuisaidia serikali kilitakiwa kijulikane mapema. Washiriki wa shindano wajikite uko. Nina imani tungepata stories of change nyingi zaidi. Kwa hiyo, stories of change zinazoongizwa na watu binafsi hazikupewa umuhimu kwa mtazamo wangu.

Mbali na mapungufu haya madogo (kwa mtazamo wangu binafsi ambao upo mezani kukosolewa), kwa mara nyingine nawapongeza waandaji wa shindano, washindi, na washiriki wote wa shindano.

NB: Swali; kulikuwa na mwakilishi wa serikali ya Tanzania katika utoaji tuzo kwa washindi?
Watakujibu sasa.?
 
hongereni sana washindi na waandaji kwa ujumla mmefikia hatua nrzrui kwa kuweka bayaha yale ambayo nchi yetu inatakiwa kufanya na muwe chachu kwa maendeleo ya Taifa na jamii kwa ujumla

sasa ngoja nirudi kwangu chitchat
 
Usikate tamaa. Tunakushukuru sana kwa kuweka wazi story yako. Nakuhakikishia inaenda kusaidia wengi kuliko ulivyotarajia. Na utapata baraka nyingi sana.
====
Tathmini yangu fupi sana ya uendeshaji wa shindano na stories zilizofuzu kwa zawadi.

Pongezi nimeishazitoa kwa waendesha shindano na washindi kwenye bandiko moja hapo juu ndani ya uzi huu.

Ni kweli, mabadiliko mengi chanya ya kusaidia watu ama jamii ama ulimwengu uongozwa na mamlaka za kiserikali ama serikali inayoongoza nchi. Mfano, nchi ya China kufanya mabadiliko ya uendeshaji nchi ulioiwezesha kuwa miongoni mwa mataifa makubwa ulimwenguni, au Singapore ilivyoweza kubadili mifumo ya kudhibiti rushwa na kuboresha elimu ya watu wake na kuwa taifa muhimu kiuchumi huko bara Asia. Pia mabadiliko ya kiuchumi yaliyofanywa na nchi za ulaya kwa kuja na dhana ya soko huria/uria. Haya ni mabadaliko chanya yaliyoongozwa na nchi.

Lakini bado kuna mabadiliko ambayo uongozwa na watu binafsi, ama kampuni binafsi ama kikundi kisicho na madaraka serikalini. Mfano ni mabadiliko yaliyofanywa na Steve Job (R.I.P) kwenye masuala ya simu za kiganjani, Bill Gate mwenyewe, Max Melo na wenzake kwenye kuanzisha Jambo forum baadaye Jamii forums ya sasa. Hii ni mifano michache ya watu binafsi walioleta mabadiliko chanya.

Sasa nikiangalia zawadi zilizotolewa kwa washindi wa pesa ni kama shindano lililenga kutafuta stories of Change za kuisaidia serikali kufanya mabadiliko (dira ya taifa, TRA, na rufaa za mahospitali). Ninaomba mnkosoe kama mtazamo wangu huu ni batili nitakubali kukukisolewa. Kumbuka stories zote zilizoshinda ni muhimu sana kwa serikali na wananchi kwa ujumla. Hata hivyo, hiki kigezo cha kutafuta stories of change za kuisaidia serikali kilitakiwa kijulikane mapema. Washiriki wa shindano wajikite uko. Nina imani tungepata stories of change nyingi zaidi. Kwa hiyo, stories of change zinazoongozwa na watu binafsi hazikupewa umuhimu kwa mtazamo wangu wakati wa kuamua nani awe mshindi.

Mbali na mapungufu haya madogo (kwa mtazamo wangu binafsi ambao upo mezani kukosolewa), kwa mara nyingine nawapongeza waandaji wa shindano, washindi, na washiriki wote wa shindano.

NB: Swali; kulikuwa na mwakilishi wa serikali ya Tanzania katika utoaji tuzo kwa washindi?
Umeugusa sana moyo wangu sana
 
Back
Top Bottom