Hata mimi mkuu, ni kama sina imani nae hiviAsante sana bishop.nina wasiwasi na huyo adnan
Safi sana mkuu Bishop. ShukranHabari za Jumapili, nadhani wengi wenu leo mnachill tu home, na mimi leo nataka niachie mzigo wa maana ili uisindikize wiki endi...
Cc the_legend Norshad bobefu zoefu Pablo PAKAYA Ibney blackstarline Bryece Tater, Bigjahman moneytalk, marybaby, nipo2, ram, kisukari, Smart911, Madame S, carbamazepine, Astelia, culture gal , Prisoner of hope, Mine eyes, kuku mweus, Thad, hearly, Shunie, moneytalk,Tumosa, Mine eyes, Kudo, swahiba92, ludist, Toyota escudo, Clkey, macson3, Thad, boga la kiangazi, macson3, LEGE, Smart911, Richard irakunda, skfull, popie, Krizy Beat, hearly nipo2 MWINDAJI HARAMU kakhulu Katavi Norami mbududa iron2012 popie Bughy Harry Kinondoni Sweetheart SUPER EMILY
Shukrani kakaHabari za Jumapili, nadhani wengi wenu leo mnachill tu home, na mimi leo nataka niachie mzigo wa maana ili uisindikize wiki endi...
Cc the_legend Norshad bobefu zoefu Pablo PAKAYA Ibney blackstarline Bryece Tater, Bigjahman moneytalk, marybaby, nipo2, ram, kisukari, Smart911, Madame S, carbamazepine, Astelia, culture gal , Prisoner of hope, Mine eyes, kuku mweus, Thad, hearly, Shunie, moneytalk,Tumosa, Mine eyes, Kudo, swahiba92, ludist, Toyota escudo, Clkey, macson3, Thad, boga la kiangazi, macson3, LEGE, Smart911, Richard irakunda, skfull, popie, Krizy Beat, hearly nipo2 MWINDAJI HARAMU kakhulu Katavi Norami mbududa iron2012 popie Bughy Harry Kinondoni Sweetheart SUPER EMILY
Huwa napendaga sana waandishi wa riwaya na simulizi wakiwa wanazungumzia urembo wa mwanamke na jinsi alivyopendeza[emoji2][emoji2][emoji2]
the Legend☆
Hahahaa, nimekubali Bishop, hakika uko vizuri sana kwenye hiyo tasnia. Asante sana kwa elimu hiyo mkuuMkuu the_legend hiyo huitwa VISUALIZATION. Mwandishi makini anatakiwa kuiona picha nzima akilini mwake wakati anaandika hadithi yake, awaone wahusika wake wote, wanafananaje, wamevaaje, sauti zao n.k. Ujuzi wa aina hii ndiyo huitwa “visualization.”
Kwa kawaida uandishi hutegemea sana Ubunifu (Creativity). Ubunifu wa mtu hufanyika kutoka kwenye sehemu mbili za ubongo. Kwanza kuna Ubunifu wa Awali (Primary Creativity) ambao hutokea kwenye sehemu ya ubongo wa kulia, eneo ambalo ndiyo chanzo cha mawazo/mipango na utambuzi. Ni eneo ambalo msukumo wa mwandishi hutokea na kuchangia asilimia 10 tu ya mchakato mzima wa ubunifu.
Kisha, kuna Ubunifu wa Pili (Secondary Creativity), ambao hutokea kwenye sehemu ya kushoto ya ubongo na huchangia asilimia 90, sehemu ambayo hujumuisha uhariri, nidhamu ya kiuandishi, mantiki, muundo, mazoea ya kuandika, taratibu na mpangilio. Ili kuwa mwandishi mbunifu ni kuwa na ujasiri wa kuweza kurudia kumbukumbu zako za utotoni, ambapo ulikuwa huru na hukuwa na msongo wa mawazo au kufikiria sana maisha kama ulivyo sasa.
Unapoanza kuandika, ruhusu upande huo wa ubunifu wa asili kujitokeza kupitia maneno yako bila kuyakosoa au kuyachambua maandiko yako. Kabla hujaanza kupata taswira kichwani mwako (visualization), kwanza ni muhimu sana ufanye taamuli (meditation); fumba macho yako na ujilegeze huku ukivuta pumzi ndefu. Ukipenda unaweza kusikiliza muziki. Endelea kuvuta pumzi hadi unapohisi misuli ya mwili wako inalegea.
Dah, ngoja niishie hapa ingawa hili ni somo zuri sana. Sipendi niharibu uhondo wa hadithi yetu...