We mzee wa Anfield hujawah kusikia ? Watu waongo sana 😂😂😂😂😂
Utige ?Wakati Cristiano anatoka Man U kwenda Madrid nliambiwa Man U walikua hawataki kumuuza ko cristiano alipita mashambani hadi akafika kwenye team ya Madrid...we blaza ulienidanganya madako yako
Mumeo alikudanganya sanaGuadey alikua eti anaenda R.Madrid,rubani akapigiwa simu ageuze ili aje asajiliwe Uto.
hatari sana,sisi mashabiki wa Utopolo tunadanganywa kizembe sana,eti pale kwenye mafuriko tunajengewa uwanja kama wa Santiago Bernabeu,,dah,,!😭😭Mumeo alikudanganya sana
Nikweli kabisa bibie usimuamini sana mumeo kwasababu ni muongo mnohatari sana,sisi mashabiki wa Utopolo tunadanganywa kizembe sana,eti pale kwenye mafuriko tunajengewa uwanja kama wa Santiago Bernabeu,,dah,,!😭😭
Nadhani unamaanisha roberto carlos. huyu jamaa wakiwa wanacheza nadhani kombe la dunia Brazil vs ujerumani ilipatikana faulo nje ya kumi na nane golikipa akiwa oliver kahn.Robto Kalosi mashuti yake mabeki wanakwepa sababu makalSana
🤣🤣🤣🤣🤣
roberto carlosKulikuwa na story mchezaji fulani wa brasil anapiga penalt usawa wa kipa na lazima kipa akwepe maama shuti ni kali sana asipokwepa anaingia nao wavuni.... Nimemsahau jina ila ni no 6
Kwani Simba ameifunga Al Ahly mara ngapi? Ficha utopolo wakoSimba wataifunga Al Ahly, hadithi ya uongo na kutisha
Exactlyroberto carlos