Nilichokiona mimi ni matumizi tu mabaya ya Rasilimali. Kutumia mic kwenye mkutano uliohudhuriwa na watu 20 (Ishirini) ni ukosefu wa akili. Ni heri tu angekodisha hata darasa moja akawaweka wale watu aliokuwa anawahutubia angeongea nao tu ki-kawaida. Itafika mahali hawa viongozi wa CCM watakuwa wanatumia mic hata pale watakapokuwa wanaongea na wake zao kwa jinsi wanavyozipenda na kuzitumia bila kuangalia Idadi ya wanaoongea nao.Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
<br />Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
Mwita25 wewe bado umelala amka kumekucha, uone moto wa Igunga, hivi ulisema utavaa Gwanda???????????Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
<br /><font color="#0000cd"><b>ananikumbusha kipindi cha chama kimoja </b></font><font color="#008000">Tuntemeke Sanga </font><font color="#0000cd"><b>alimjubu mpiga kura kuwa kura yake moja tu haitamsaidia</b></font>
its because ur blindMbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
sidhani kama kapewa na Mungu.mzee wa kulala.ashukuru mungu kampa pesa,Je kama asingekuwa na pesa wasira angekuwaje ?
Yeah...this reminds me. You have got a point lakini tuitazame objectively kidogo.
Nina maswali machache (kuuliza si ujinga)....
1/hivi sheria inasemaje kuhusu civil servant anapokwenda kushiriki mambo ya siasa kama hii ya Wassira &co?
2/inabidi aombe likizo rasmi au?
3/je Wassira aliomba na kupewa likizo rasmi?
4/kama ikigundulika Wassira & co hawakupata hiyo likizo, sheria za kazi zinasemaje? sheria za uchaguzi zinasemaje? na sheria kwa ujumla wake inasemaje?
Kama sheria zetu za sasa hazi-address hayo maswali yangu, then jamani iwe isiwe lazima tupate katiba mpya kabla ya 2015.
Kama sheria zilizopo zinatoa majibu ya maswali yangu, na kama Wassira & co hawakupata likizo rasmi, then:
1/CCM automatically wameshapoteza huu uchaguzi
and
2/Wassira & co must be sacked immediately!
mzee wa kulala.ashukuru mungu kampa pesa,Je kama asingekuwa na pesa wasira angekuwaje ?
Tufanye nini watanzania ili huu mchakato wa kuandika KATIBA YE2, utekelezwe mapema ? Kama uhalisia ulivyo viongozi we2 ndio hao wanawaza uchaguzi! hivi tutafika kweli tunakotaka watz kwa aina hii ya viongozi?
Wakati unasubiri majibu ya maswali yako ni vizuri kukumbuka kwamba watekelezaji wa sheria ndio hao hao wanaoivunja, sasa usitegemee wassira kuwajibika ama kuwajibishwa kwakuwa amekwenda igunga kujaribu kukinusuru chama kilichompa ulaji serikalini kisivuliwe nguo.
Labda tukishakuwa na katiba mpya tutalazimika kuzingatia maswali yako na kuyawekea sheria kali na wasimamizi makini wa hizo sheria.
<br />Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?