Steven Wassira kaumbuka Igunga

@ MWITA25, kwani ccm huwa mna onaga nyie,Zambi hizo mlizonazo ccm na ndio maana huoni, na usione vizuri ili sisi tunao ona tu waongoze. Wahed!
 
Nipeni taarifa jamani, huyu mzee hakusinzia kwenye huo mkutano, yawezekana wakati anaulizwa hilo swali alikuwa anasinzia ndio maana akajibu hivyo
 
I feel very sorry to say, " his kind of politician + Government official that i dont admire at all, honest his appearance has nothing to do with my comments.
anyway maybe wakazi wa igunga will judge him otherwise, best wishes
 
Hivi huyo muuliza swali alitegemea jibu gani? Mzee mzima anajua fika kuwa wana siasa uchwara. Lakini je ana ubavu wa kukiri hilo kwa watu anaowaomba kura?
 
Hivi huyo muuliza swali alitegemea jibu gani? Mzee mzima anajua fika kuwa chama cha magamba kina siasa uchwara. Lakini je ana ubavu wa kukiri hilo kwa watu anaowaomba kura?
 
CCM ni mambumbu wa kusoma alama za nyakati siku zote,Wasira alikuwa anafikiri anaongea na mahawara wake pale.Huyu mzee anatakiwa kujiuzulu hana analofanya zaidi ya kuropoka na kutumia nguvu mahali panapohitaji kujibu hoja kwa akili

Yule ni kilaza 100% na watu kama huyu niwakuogopwa sana, full ubabe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom