Tetesi: Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Kuna tetesi kuwa aliyekuwa Makamu wa raisi wa Bunge la Pan African, Mh.Stephen Masele kuwa spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imekaaje wadau?


Hata akiwekwa Babu Tale ni sawa, maana ukishakaa pale wana press reset button, huwezi tumia akili yako tena.
 
Kwa nini Masele?
Mgogoro na Ndugai ulimjeruhi,ulimuathiri sana huyu ndugu- kiakiri,Kiroho,Kiafya na kiuchumi..Asamehe tu..aachilie ktk moyo..

Nadhani tunahitaji Spika mwenye umri uliopevuka zaidi na mwenye hekima,Busara zaidi lakini zaidi mwenye Uzalendo uliotukuka na mwenye kutambua vema historia ya nchi..

Nadhani Masele anafaa kutumika kwenye taasisi Za kibiashara ama Wizara..Ni Mfanyabiashara mwenye fikra Za utafutaji kisasa..Ikipendeza ajikite kwenye biashara na ujasiliamali kuepuka majitaka na matope ya kisiasa..
 
Back
Top Bottom