STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

Mungu mkubwa mimi na mpenzi wangu nivea naona mwaka tumeuanza vizuri baada ya kumtaliki Preta ila nakushukuru Baba V kwakutaja wasifu wa Vin Diesel ila sasa sijui kwanini vyombo vya dola havifanyi kazi yake au kavishika nakuviweka kwenye mfuko wake?
 
Last edited by a moderator:

Kibaka anamshauri kibaka mwenzie aache ukibakaa... khaa, itawezekana wapi!? pendapenda for life
 
Last edited by a moderator:
mwali we wajua mi navokuaminia pande hizo za ufanyakazi bora!
ILA TU KWENYE ILE MBESA SASA!UUUWIH zitakukoma!

mwali sikuja kusuka shanga mjini hapa, manake kama ni hivyo bora ningebaki kwetu kuchuma kahawa na kufagia samadi.
hapa natafuta ngawira aka elerii aka kisu aka majani aka mkwanja aka mate aka chapaa aka mshiko aka yuda ..................
 
Mungu mkubwa mimi na mpenzi wangu nivea naona mwaka tumeuanza vizuri baada ya kumtaliki Preta ila nakushukuru Baba V kwakutaja wasifu wa Vin Diesel ila sasa sijui kwanini vyombo vya dola havifanyi kazi yake au kavishika nakuviweka kwenye mfuko wake?

miss you sana wewe!
mzima lkn??? me luv you bana siku nyingi sijakutia machoni lol!
 
Usitizame tizame tuu we angalia proposal yangu hapo juu inakuja na funguo za vogue mpya na cheque ya milioni moja snowhite
ahahahhahahhahahhahahhah
ngoja nikuitia kaka zangu waone unavocheza na sharubu za simba yani dada yao ndo unampimia hapo?ahahahahha moto2012 kuja pande hiz, SnowBall pacha njoo huku kuna mtu ananichukulia poa!
 
Last edited by a moderator:
naomba member wote wa umachi (umoja wa mabachela wa chitchat) mtupe status zenu
 
mwali sikuja kusuka shanga mjini hapa, manake kama ni hivyo bora ningebaki kwetu kuchuma kahawa na kufagia samadi.
hapa natafuta ngawira aka elerii aka kisu aka majani aka mkwanja aka mate aka chapaa aka mshiko aka yuda ..................

hiyo ndo manaaaake bana!
chapaa ndo mpngo mzima my wee mwali wangu mkuu!mh mbna una vyeo vingi hiv mpenzi?
 
hiyo ndo manaaaake bana!
chapaa ndo mpngo mzima my wee mwali wangu mkuu!mh mbna una vyeo vingi hiv mpenzi?

acha tu manake nakumbuka siku napewa baraka na ukoo nilimiminiwa zote atii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…