STATUS za wana chit-chat mapema mwaka huu 2013

sasa mwl naona umesahau kipimo cha mwl kwamba huwez kusema mwnafunzi ni mjinga kama hujampa mtihan na kufeli sasa usiseme Madame B sio bikra ilihali hujawah kuingia uwani kwake.

Point!
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa ujasiriamali aisee, naskia hata Dotnata ameanzisha la kwake, ukishaanzisha tu mualike Lowassani, hutakosa mil.10, kuhusu nani atakuwa mama mchungaji nachanganyikiwa, nahisg kila jumapili atakuwa anakuwepo mama mchungaji mwingine

Mkuu Baba V....suala la kufungua kanisa ni wito zaidi ya kuwa mwalimu....
Mama mchungaji kuna kamati nimeipa kazi na mpaka sasa lara 1 ana maksi nyingi...mchakato ukikamilika matokeo yatatolewa hapa.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
to me measkron is everything....vijana jifunzeni!!!
 
Last edited by a moderator:

Aisee itakuwa balaa huko chechi, sipati picha mama mchungaji awe @lara1, watajiachiaje watu huko chechi, ila sasa kanisa litakimbiwa na wababa, maana hizo semina za lara 1 kwa akina mama itakuwa balaa
 
Last edited by a moderator:
basi uwe makini sana kama unajichanganya na Vin Diesel nitakuadabisha.
kwanza mwambie VD kanikosea sana kwann alirudia njian kuja kwenye msiba kwangu??

My dear gfsonwin....ninahisi kuna mtu hatutakii mema mpaka aanze kukuambia haya...kuna mtu humu siku ya msiba alijua ratiba zangu zote na nikamwomba akifika anipe simu niongee na wewe...naona bado hajafika tuvumilie kidogo.
Ila naomba nitake responsibility ya hili na nakuomba unisamehe...I will make it up to you....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Baba V, Jamani mbona mimi hamnitaji??? Nasononekaje?????
 
Hapo umenena, hivi vi hakielimu anakimbia mizinga ya ''xaxa dia naomba uni crdt ximu my 4n iz mpty''

hahahah! umenikumbusha, ILU, xaxa leo dina wp?? na je vp kuhusu mkoko?? c ulisema pale shoo rum wameshusha bei??

jamaa akiangalia zilipendwa mkoko anamiliki, hana shida ya menu za mawazo nk. chezea wajuzi wa mambo weye??
 
salamu zako nilipata na kwamba ulirudia njian ubungo eti umeitwa kwenye dili nikajiuliza dili gani siku ya j2 mchana?? je isingeweza kuvumilia had j3??

kiukweli hata wewe unamtenda hivyo dada mkubwa??

lkn nimekusamehe usirudie kosa hili sawa?? nasubiria vocha kwenye cm kama faini.
 

habari za asubuhi Baba V mme wa Mama v inactive id..
 
Last edited by a moderator:

twisheni ya nini tena?? manake kusoma na kuandika kuko kwa aina nyingi sana siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…