Mamndenyi nimemtuma shamba...hatakuja jukwaani mpaka baada ya mavuno june...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
HA ha ha ha, umeona eeh
Ana kifua cha senene, hakibebi kisadolini
Wa hivi kuwasongesha kibra laini
Shemeji nini kinaendelea hapa?
mtu mzima akikubali huwa hasemi NDIO....we hapo komaa tu na hiyo namba ya simu, halaf usisahau kupeleka na maua....
Ni mkeo mdogo, kwani AshaDii alikumimina?
Umem deport kwenye mashamba ya miti ili ujirushe vizuri na vimwana eeh!, afu kwenye ripoti ya kuvunjika kwa ndoa ya C6 na charminglady jina lako limeonekana mara nyingi sana, nasubiri Nicas Mtei aniletee ripoti ya Mwanza alikoenda kufuatilia suala hili. I will come back to you
Ha ha ha, dah sijui kalog off
Afu na kompyuta kaiweka kwenye friza?
Hata mie sijui
Labda Mary Hunbig aliiba pasiwedi yangu?
Hhahahahahahaha
nahisi kama unamsingizia!
Waambie mume wangu
hivi Mamndenyi ndio ulifanyanini sasa? Yani zawadi zote ikabidi nimkabidhi naniliuuuuuu............................................
Maana yake. kakudelete kwenye recyle bin