Naangalia TBC mimi kweli wa kutizama chanel ya mzee nyerere?
...JAMANI NATAMANI KUHAMA STARTIME LEO WIKI YA PILI WAMETUKATIA ANTENA HUKU KAHAMA HIVI KING'AMUZI GANI KIZURI JAMANI
Unatumia cha dish au antenna?King'amuzi chenu kina shida hasa huku mitaa ya USA RIVER ARUSHA. mara kwa mara kina kata mawasiliano, na mvua ikinyesha ndo huwa tunasahau kama kuna Tv coz huwa tv zote ni no signal
AntenaUnatumia cha dish au antenna?
Antena
...King'amuzi chenu kina shida hasa huku mitaa ya USA RIVER ARUSHA. mara kwa mara kina kata mawasiliano, na mvua ikinyesha ndo huwa tunasahau kama kuna Tv coz huwa tv zote ni no signal
Cjawahi kutumia TINGKwahio chenye local kipi ni bora kati ya star times na ting?
...
Acha munkali tajiri wa arusha!
Nenda kwa wakala. Jichukilie full set ya kisimbusi cha starsat.
Tunasubiri mrejesho kwa chaka letu.
...
...Starsat ndio kisimbuzi kipi?
...
Hawa jamaa ni magumashi, hawana lesseni ya dishi. So wanatumia starsat ya SA kama jiwe la kampito. Vile washindani wao.
...
Eeh kahama hatuna huduma na hawasem loloteJAMANI NATAMANI KUHAMA STARTIME LEO WIKI YA PILI WAMETUKATIA ANTENA HUKU KAHAMA HIVI KING'AMUZI GANI KIZURI JAMANI
Bro kwani mnapata Chanel zip kwa 11000 hio hebu nisaidie nataka ninunue king'amuzi chenye local kati ya star times au ting kipi kizuri?Ni kweli ata mm cpati