Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Star time mbezi naomba kuhudumiwa jaman sasa kwa nn umeweka uzi wa special for your office alafu tukiingia hamtuhudumiiii?
 
JAMANI NATAMANI KUHAMA STARTIME LEO WIKI YA PILI WAMETUKATIA ANTENA HUKU KAHAMA HIVI KING'AMUZI GANI KIZURI JAMANI
 
JAMANI NATAMANI KUHAMA STARTIME LEO WIKI YA PILI WAMETUKATIA ANTENA HUKU KAHAMA HIVI KING'AMUZI GANI KIZURI JAMANI
...
Una mbili wiki! Kweli ni ng'ang'ari. Baki na ulichozoea. Chukua kisimbusi cha starsat uje na story nyingine.
...
 
King'amuzi chenu kina shida hasa huku mitaa ya USA RIVER ARUSHA. mara kwa mara kina kata mawasiliano, na mvua ikinyesha ndo huwa tunasahau kama kuna Tv coz huwa tv zote ni no signal
 
King'amuzi chenu kina shida hasa huku mitaa ya USA RIVER ARUSHA. mara kwa mara kina kata mawasiliano, na mvua ikinyesha ndo huwa tunasahau kama kuna Tv coz huwa tv zote ni no signal
...
Acha munkali tajiri wa arusha!
Nenda kwa wakala. Jichukilie full set ya kisimbusi cha starsat.
Tunasubiri mrejesho kwa chaka letu.
...
 
Kwa kweli nyie startimes mnatuibia kweli , yaani kifurushi cha sh 11000 unapata chanel za hovyohovyo hivyo na sidhani hata kama kumi zinafika, ni heri hata ya zuku kuliko nyie na
 
Back
Top Bottom