Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

StarTimes Tanzania

Verified Member
Jun 11, 2013
183
225
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
 
Last edited by a moderator:

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
3,877
2,000
Niwasaidie wewe na faiza.
KWA SISI WATU WA ROHONI FUNDISHO HILI LINATAFSIRIWA HIVI:

MUNGU HUWA HAMJARIBU BINAADAM,BALI HUIJARIBU IMANI YA HUYO BINAADAM KUWA IKO THABITI.
HAIYUMBI. NDIYO MAANA MAHALI PENGINE ANASEMA AMJARIBUPO MTU HUTOA NA MLANGO WA KUTOKEA KTK JARIBU LAKE. BAHATI MBAYA NIKO MBALI NA BIBLIA NINGEWAPA NA MAANDIKO.
SHETANI HUMJARIBU MTU ILI AANGUKE KTK DHAMBI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hiyo imani inayojaribiwa inakuwa ndani ya jiwe au binadamu. Anayejaribiwa ni binadamu. "Lakini Yeye aijua njia niendeayo; Akisha KUNIJARIBU nitatoka kama dhahabu" - Ayubu 23:10

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KAJOBO

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
385
500
@ Star times, nauliza mbona king'amuzi changu kimekata Chanel kabla ya muda kufika yan kifurushi kilitakiwa kuisha tarehe 24 mwez huu,, sasa mmekata leo? Kwa non yan
 

minji

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
2,175
2,000
Aisee yani kama double kara tangu mwaka juz kama cjasahau tafuten tamthilia mpya kama hamuwez muwe mnaweka movie za kibongo tu
Na three side of ana toka sijazaa mpk sasa mtoto ana miaka 2 na miez 3 bado inarudiwa upuuzi mtupu
 
Top Bottom