Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

StarTimes Tanzania

StarTimes Tanzania

Verified Member
Jun 11, 2013
183
225
Habari zenu wanaJamiiForums

Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu?

Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi.

1. Utaje tatizo lako
2. Taja sehemu unayoishi
3. Pia kama unaweza tunaomba ututumie na namba yako ya smartcard!

STARTIMES tutajibu maoni, malalamiko na ushauri ule tu ambao utakuwa umejitosheleza na wenye nia ya kutusaidia kuboresha huduma zetu.

kumbuka namba zetu za huduma kwa wateja ni 0764700800 au 0677700800

Ahsanteni sana na karibuni nyote.
 
Last edited by a moderator:
sifi leo

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,389
2,000
Naitaji kingamuzi chenu TAFADHALI NAOMBA NO YA WAKALA au DUKA LENU LOLOTE LILIOKO MBEZI YA KWA MSUGURI
 
patricl

patricl

JF-Expert Member
Oct 2, 2015
426
250
Bei na mkubwa wa tv za startimes naomba kutajiwa kwa mwaka 2019
 
sifi leo

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,389
2,000
Star time mbezi naomba kuhudumiwa jaman sasa kwa nn umeweka uzi wa special for your office alafu tukiingia hamtuhudumiiii?
 
Esayi

Esayi

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
356
250
JAMANI NATAMANI KUHAMA STARTIME LEO WIKI YA PILI WAMETUKATIA ANTENA HUKU KAHAMA HIVI KING'AMUZI GANI KIZURI JAMANI
 
G

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
283
225
JAMANI NATAMANI KUHAMA STARTIME LEO WIKI YA PILI WAMETUKATIA ANTENA HUKU KAHAMA HIVI KING'AMUZI GANI KIZURI JAMANI
...
Una mbili wiki! Kweli ni ng'ang'ari. Baki na ulichozoea. Chukua kisimbusi cha starsat uje na story nyingine.
...
 
sinide

sinide

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
463
500
King'amuzi chenu kina shida hasa huku mitaa ya USA RIVER ARUSHA. mara kwa mara kina kata mawasiliano, na mvua ikinyesha ndo huwa tunasahau kama kuna Tv coz huwa tv zote ni no signal
 
D

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,314
1,500
King'amuzi chenu kina shida hasa huku mitaa ya USA RIVER ARUSHA. mara kwa mara kina kata mawasiliano, na mvua ikinyesha ndo huwa tunasahau kama kuna Tv coz huwa tv zote ni no signal
Unatumia cha dish au antenna?
 
G

gomer

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
283
225
King'amuzi chenu kina shida hasa huku mitaa ya USA RIVER ARUSHA. mara kwa mara kina kata mawasiliano, na mvua ikinyesha ndo huwa tunasahau kama kuna Tv coz huwa tv zote ni no signal
...
Acha munkali tajiri wa arusha!
Nenda kwa wakala. Jichukilie full set ya kisimbusi cha starsat.
Tunasubiri mrejesho kwa chaka letu.
...
 
D

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,314
1,500
Starsat ndio kisimbuzi kipi?
...
Acha munkali tajiri wa arusha!
Nenda kwa wakala. Jichukilie full set ya kisimbusi cha starsat.
Tunasubiri mrejesho kwa chaka letu.
...
 
D

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,314
1,500
Hebu nisaidie kisimbuzi kinaitwaje hicho?
...
Hawa jamaa ni magumashi, hawana lesseni ya dishi. So wanatumia starsat ya SA kama jiwe la kampito. Vile washindani wao.
...
 
minji

minji

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
2,175
2,000
JAMANI NATAMANI KUHAMA STARTIME LEO WIKI YA PILI WAMETUKATIA ANTENA HUKU KAHAMA HIVI KING'AMUZI GANI KIZURI JAMANI
Eeh kahama hatuna huduma na hawasem lolote
 
Top Bottom