Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,444
- 25,591
Eti ehhh....Hii ndiyo shida ya watu wengi wasioielewa biblia.
Tunapoambiwa kuhubiri,ni kumwambia mtu kosa lake kinagaubaga na kumuonyesha mungu anavyota aishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo prototype ya jinsi Mungu anataka binadamu aishi alikupa wewe...