StarTimes - "Geuza Antenna yako iangalie Kisarawe..."!!!

StarTimes - "Geuza Antenna yako iangalie Kisarawe..."!!!

frankly speaking nimekitupia changu juu ya kabati na nimeridhka kuwa ctawah kuangalia tv mpaka ntakapopata pesa.. Antena nilgeuzia hadi kibla lakn wapi

Kama ulikuwa unatumia "Antenna" ya "analogia", unaweza kutumia hiyo hiyo na hata cable vile vile na inafanya kazi. Hii ya kugeuza "iangalie kisarawe" haifanyi kazi....!
 
kisarawe kwenye mnara wa tbc

Mkuu mimi naishi Bunju - sasa ninaweza kugeuza antenna iangalie kisarawe? na "orientation" ya "antenna" iko vipi niweze kujua wapi nielekeze kisarawe?
 
Nadhani kama si bei kubwa vinavyo ving'amuzi vya TING, kwa maoni yangu hivi ving'amuzi vya TING ni bora zaidi kuliko hivi vya start times

Baada ya familia kukosa "tamthilia" kwa karibia wiki mbili, jana nilienda kununua "decoder" ya StarTimes na "Antenna" na "Cable". Nilivunga kadri ya maelekezo lakini sikupata "signal"! Baadaye nikaamua kutumia "antenna na cable" ya zamani ya "analogia" ni kafanya "Search" nikapata "channels"!

Jioni nikapigiwa simu na "huduma kwa wateja" na kuniuliza kama nimefanikiwa kupata "channels". Niliwaambia nimefanikiwa lakini sijatumia "antenna" yao! Yule mpiga simu akaniambia nigeuze antenna "iangalie kisarawe"!!!! nilimshukuru kwa kunipigia simu na nikamwambia hapa nilipo Bunju B siwezi kuwa na uhakika nigeuze vipi "antenna" iangalie Kisarawe!!!

Karibu Katika Ulimwengu Wa Digitali...!
 
Nadhani kama si bei kubwa vinavyo ving'amuzi vya TING, kwa maoni yangu hivi ving'amuzi vya TING ni bora zaidi kuliko hivi vya start times

Hivyo vya TING unaweza kupata chaneel za hapa ndani? ITV, TBC,StartTV, EATV, Channel10, DTV?
 
Hata kabla ya Start Times kuweka hizi Local Channels, TING tayari walikuwa wameka Channel 10, ITV, EATV, StarTV, TBC na Clouds Tv. Mbali hizo channel unapata Aljazeera, CNN, PressTv, KBC, Emmanuel Tv nk
 
frankly speaking nimekitupia changu juu ya kabati na nimeridhka kuwa ctawah kuangalia tv mpaka ntakapopata pesa.. Antena nilgeuzia hadi kibla lakn wapi

WEE noma, hadi kibra? Jaribu mbinguni, penginepo utapata ahueni.

.......................................
Historia haiishiwi wino.
 
Hata kabla ya Start Times kuweka hizi Local Channels, TING tayari walikuwa wameka Channel 10, ITV, EATV, StarTV, TBC na Clouds Tv. Mbali hizo channel unapata Aljazeera, CNN, PressTv, KBC, Emmanuel Tv nk

mkuu gharama zao zikoje.!
 
Kwani zile antenna zinazorusha signals za radio calls za polisi zina-point wapi Mkuu Shark .. c mawinguni..?
Elekeza hiyo kama zile..
Mi antena yangu ni ya miba, haiwezi kuelekea mawinguni. Kila mtu anaambiwa aelekeze kwetu huku kisarawe, sisi wa hukuhuku kisarawe hatupati, sembuse nyinyi huko.

Waulizeni vizuri hao star-times
 
Hiki king'amuzi kinachotumiwa na wengi kilicho na uwezo wa kurekodi bei yake ni Tshs 99,000. Malipo kwa mwezi ni Ths. 10,000. Haya suppier wa TING i.e Agape Associates wamekuwa overpowered na watu wa Start Times katika marketing approach.King'amuzi changu cha TING ni kile ambacho hakirecord HATA HIVYO hayo matatizo ninayosikia ya kugeuza Antenna mimi hakijawahi kutokea.
 
mkuu gharama zao zikoje.!
Zimegawanyika ktk aina 3!ila jamaa kidogo wanajitahidi sema tu package yao sio nzuri ki vile!kwenye chaneli za nje,ila kwa za hapa zote zinakamata vizuri sana(tbc,chanel 10,startv,eatv,atn,itv,capital)zote zinaonekana vizuri,malipo ni sh.elfu 10,kwa mwezi,ila bei ya king'amuzi inategemea unataka kipi kwani wanavyo 3,AAL-001,2 Na 3,hicho namba 003 kinakuwa na dish lake ambacho unaweza kufunga sehamu yote ile,na malipo yake kwa mwezi ni 25000.kwa maelezo zaidi wapigie kwa 0653999230.
 
Hata kabla ya Start Times kuweka hizi Local Channels, TING tayari walikuwa wameka Channel 10, ITV, EATV, StarTV, TBC na Clouds Tv. Mbali hizo channel unapata Aljazeera, CNN, PressTv, KBC, Emmanuel Tv nk

bei gan
 
wakuu mmewahi sn kununua mngesubiri kdg kuna king'amuzi kinakuja kinaitwa digtek! hicho antena ya ndani tu mambo yanajipa!
 
Kibaya zaidi ukigeuzia Kisarawe unapata local arif lnternational chanels zinagoma
 
Back
Top Bottom